Recent content by WEPON JAMES

  1. WEPON JAMES

    Ufafanuzi: The Royal Tour, filamu ya Rais Samia inayolenga kukuza utalii

    Sasa hoja yako ya msingi ni ipi hapa. Unabeza kilichofanyika au unakosoa. Tengeneza mada inayoweza kueleweka na watu wakachangia maoni
  2. WEPON JAMES

    Matokeo ya vidato, na uhalisia wake katika maisha ya kila siku

    Siku zote matokeo yanapotoka yanaweza kukufurahisha, pia yanaweza kukunyima furaha. Kila mwaka matokeo yanapotoka Nimekua nikifikiria sana kiundani kuhusu uwiano wa matokeo ya wadogo zetu, kulinganisha na uhalisia wa uwezo wao wa ku- interact na jamii, either kiutendaji wa shughuli mbali mbali...
  3. WEPON JAMES

    GE2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

    Wanatakiwa kuelewa kua mwanachama wako hana mkataba na wewe kuhusu uamuzi wake wa kupiga kura. Uanachama unabaki kua uanachama na maamuzi ya nani ampigie kura anabakinayo mru mwenyewe, haviingiliani
  4. WEPON JAMES

    Mafanikio dhidi ya Corona: Watanzania Tunamkufuru sana Mungu kwa kutokumpa heshima yake, na kumpa heshima hiyo mwanadamu

    Dunia yetu inaongozwa na viongozi wengi wa mataifa mbalimbali, kuanzia ngazi za urais mpaka ngazi za chini kabisa, viongozi hawa wana msaada mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku hapa duniani. Lakini bila kusahau kua Mungu ndiye mwangalizi wa kila kitu hapa duniani, kwahio anastahili sifa...
  5. WEPON JAMES

    Upinzani Tanzania utashinda tu na kuiondoa CCM 'Madarakani' kama ikianza na haya Muhimu na si blah blah zao

    Point Namba 2 ulitakiwa kuispecify zaidi. (Taasisi ya kisiasa): Kupambana kua taasisi ya kisiasa inahusisha sana ulazima wa kuwafikia wananchi wako kupitia shughuli za kijamii pamoja na kufanya mikutano na wananchi wako, ili uweze kujijenga katika akili za watu na kua imara katika mitazamo yao...
  6. WEPON JAMES

    GE2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

    Nimekufuatilia sana uchangiaji wako.. mbona hua huongei point mkuu, unashangaza sana watu jinsi unavyotoa majibu yako, hayana sense kabisa
  7. WEPON JAMES

    Lissu kwa mara nyingine amewathibitishia Watanzania kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi

    Sasa ni wakati wenu wa kutulia na kutathimini kuwa ninyi kama ccm mnakwendaje.. mnaelewa kua maji yamewafikia shingoni hiyo ipo wazi kabisa. Ufafanuzi ni kwamba, ingekua ni jambo la kukosa busara endapo kungekua na sababu za msingi za kumzuia. Police wameondoka kwa aibu sana. Swali kwako...
  8. WEPON JAMES

    CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Acha kua shabiki maandazi.. njoo na sababu za msingi za kumzuia. Watu wa design yako ni hewa sana
  9. WEPON JAMES

    Nilipoyaona haya nilijua Magufuli hawezi kusaidia maskini, alichowafanyia Watanzania ni kuwafanya mafukara zaidi

    Mimi ni mwanachama mzuri sana wa CCM, lakini kadi yangu ya kura haina chama, kwa hali waliyonayo watu wangu mtaani, bila unafiki sitaweza kufuata upepo wa CCM. Kura yangu ni kwa T.A.LISSU. Mgombea ana hoja za msingi sana zinazoonyesha mwanga katika maisha ya watu. Kiukweli tumepatwa matatizo...
  10. WEPON JAMES

    GE2020 Mbowe adhalilisha vyama vyote vya upinzani nchini, adai havistahili kupewa haki ya kunadi wagombea wao

    Acha kupotosha, hicho sicho alichokiongea Mbowe. Tunafuatilia kwa makini, hatuhadithiwi
Back
Top Bottom