Recent content by WENYELE

  1. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Sio Genetics na hsinisumbui
  2. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Nywele zikipotea hazirudi, akubaliane na hali maisha yaendelee
  3. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Ukoo wetu hakuna mwenye kipara, ila mimi ndo nimeanza nao; kwangu naweza sema chanzo ni stress na mlimbikizo wa majukumu ya kiume. Nina mvi nyingi kuliko Mama yangu na nina kipara ila ndo breadwinner wa familia. Niko mid 30s
  4. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Utamu wa wakubwa!!

    Kwa kweli toka nianze mambo ya utu uzima, hii ni style pekee huwa namfikisha mtoto wa watu pale anakotaka. Ile muhogo umeingia wote, halafu mimi najivuta mbele kidogo, dude linapinda karibu nyuzi 30 hivi; pale kwa juu panakua panasuguliwa na shina hadi kichwa. Huyu mtoto wa mama mkwe huwa...
  5. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kimekuwa mtihani kwangu, kila nikiitwa kwenye usahili nashindwa kujieleza

    Nimesoma huu uzi, pole kwa mhusika. Mimi pia nimesoma shule za serikali, lakini lugha ya kiingereza haijawahi kuwa shida kwangu. Natokea kanda ya ziwa, hadi namaliza la saba kiswahili nilikua sikijui, nakisoma tu ila kuongea ilikua mtihani, nimeingia fomu I kiukweli naongea Kiswahili cha...
  6. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahaha! Dah!
  7. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahaha! Dah!
  8. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Moyo wa Shukrani, Hatimaye Kapata mtoto

    Kabisa, kapata mtoto baada ya miaka almost 6 ya ndoa
  9. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Moyo wa Shukrani, Hatimaye Kapata mtoto

    Leo nimepigiwa simu ya shukrani, mama wa binti akilia machozi ya furaha, binti yake kapata mtoto. Mwaka 2024 mwishoni nilienda kijijini nilikozaliwa, nikakutana na binti aliyemaliza degree na badaye aliolewa na mtumishi mmoja wa serikali Lakini nilipokutana na huyo binti, kwa rika ni km mdogo...
  10. WENYELE

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nahitaji mwl wa kubadilishana naye, nije Bagamoyo wewe uje Moshi manispaa
  11. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye katika mambo mbalimbali

    Imetimia leo!
  12. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

    Cheti changu sijawahi kukitumia toka nimenaliza chuo zaidi ya miaka 10 iliyopita, hata GPA sikumbuki ilikua ya ngapi; but iko chini ya 3.5. Nimefanya kazi taasisi kubwa za Kimataifa na makampuni makubwa.
  13. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

    Bhebhe si' nang'ho, nzugu Ngangabililu aha ndulye mbuli.
  14. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

    Nimesoma hii thread nikacheka sana; namkumbuka rafiki yangu Masele tulisoma wote advance yeye anatokea Shinyanga mimi natokea Simiyu halafu tukaka room moja na vijana wa kanda ya kaskazini. Tulitumia ushamba wetu kuwachuna sana wale jamaa, but happily life tushakua marafiki wakubwa hadi leo na...
  15. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Never EVER. Chochote kilichopo kwenye uwezo wa akili yangu, siwezi kuwa na excuse nacho.
Back
Top Bottom