kutofautiana sana katika utendaji kazi na uelewa wa fani yao. unajua ndugu utendaji unatokana na mtu mwenyewe na ndyo maana kukawa na field work ilikupata experience ya kaz. na unajua kuelewe kuna tofautiania hata kama wakiwa chuo kmoja au tofaut kwan hakuna watu waliosoma chuo kmoja lakn wakaja...
najua hyo modem yako inaweza ikawa ya huawei au zte na prog ya kuunlock modem zote hpo sema kuattach inagoma xo kama vp unaweza put ur IMEI na ntakupa unlocking codes. au check me through: wencewandi@yahoo.ca
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.