Waliochaguliwa kcmc soma.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliochaguliwa kcmc soma..

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DODOSO REFU, Sep 17, 2012.

 1. D

  DODOSO REFU Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf.Naamini kuna watu wamechaguliwa kcmc ila wakiangalia kwenye web ya chuo majina yao hawayaoni nami ni mmoja wao nilipowapigia simu tcu kujua kulikoni wakaniambia wameshawapa majina kcmc hivyo niwaulize kcmc,nami nikawapigia kcmc wakanijibu kuwa wangeeka mengine ijumaa asubuhi.Nashangaa mpaka leo kimya na chuo octoba 1.JE TUNAFANYAJE NDUGU ZANGU??
   
 2. K

  Kiny JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hebu jaribu kuwasiliana na kcmc leo maana tcu wana shughuli nyingi wanaweza kukudanganya ilimradi uachane nao waendelee na kazi zao za kiudhembe udhembe. Then give the feed back hapa jukwaani N:B Hakikisha hao kcmc wanakupa majibu halisi maana nao wazembe kwekweli ukiangalia update zao mwaka 2010 pufuu!!! Hizi system za wtz bhana.
   
 3. wencewandi

  wencewandi Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tupo weng kaka xo wrynot kwan kila mtu anamrushia mpira mwenzake mara nenda kcmc ukawaulze mara nenda tcu . subr tu
   
Loading...