Recent content by wemode

  1. W

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi: bsc in chemical and process engineering

    Ningependa kufahamu ulifikia wapi na hii hustle?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Unakuaje waziri na mawazo mgando kama hivi. Ukianza kubania technology unaua innovation kwenye nchi. Hizi laini tunatumia kama internet hotspots, kuna sehemu zingine mtandao haupo wala haushiki sasa hapo ufanyeje kama una laini moja? How do these people think :mad:
  3. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa safari ya kutoka tz hadi marekani utaratibu wake

    Kuna makampuni mengi ya ndege so inategemeana umechagua lipi. Tuseme umechagua KLM inaondoka DSM saa 5 usiku inafika Amsterdam asubuhi huwa ni kwenye saa moja hivi. Unasubiri ku connect flight kwenda US so kama unaenda New york itachukua almost 8 hrs and that is it. Nchi unazopita zinategemeana...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Mkuu hiyo penalty inaweza kufikia sh ngapi? na pia annual return huwa ni lini?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo app inaitwa Sofascore
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna jamaa alipost website humu inaitwa bet365 - Sports Betting, Premier League, Champions League and International Football Odds, plus ATP and WTA Tennis Prices, Casino, Poker, Games, Vegas, Bingo nika copy link then nikajiunga nao. Watakuomba kitambulisho kama passport, driver licence na pia...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haha halftime corner 10
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bet365 ina option za corners almost game zote. Premierbet na Gsb wanatoa options za corners ligi kubwa, uefa na europa.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu shaktar bado hajafuzu so hiyo game ni important kwao, Lakini game ya City ni sawa.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaha Mkuu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bet Won
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Govt seeks funds for Standard Gauge Railway extension

    Ushauri wa Zitto unahusikaje kwenye masuala ya ujenzi wa reli ya Kenya.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu unaishi UK
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hiyo account yako ya crdb ni ya dollar au ya kawaida.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    Currency Conversion Google cannot guarantee the accuracy of the exchange rates displayed. You should confirm current rates before making any transactions that could be affected by changes in the exchange rates.
Back
Top Bottom