habari wana jamii forum...nimekuwa mdau wa jamii forum kwa mda mrefu sana na uwepo wangu humu umeniwezesha kupata msaada wa vitu Vinngi sana hasa kipindi nikiwa bado mwanafunzi...nirudi kwenye topic
mimi ni kijana ambaye nimehitimu shahada yangu ya kwanza mwaka 2016 katika nyanja ya chemical and process engineering na nipo kwenye uhitaji wa kazi kwa kweli wanajamvi...
nimekuwa mbunifu sana kwenye suala la kutafuta kazi ikiwa ni pamoja na kutafuta list ya viwanda huska(baadhi) na namba contact zao na kuwapigia moja kwa moja ili kuwaeleza nini ninachohitaji na nitawafanyia njni...
pili nimekuwa nikitembea mlango kwa mlango kwenye viwanda( vilivyopo dar) kujaribu kuomba kazi na japo kuacha cv ili pakitokea uitaji niweze kuitwa.....challange kubwa ninayoipata ni suala la experience maana watu wengi ambako napiga simu huniambia kuwa wanahitaji mtu mwenye experience..
wanajamvi, najua humu kuna watu wa nyanja zote na wamekuwa msaada sana kwa watu wenye uhitaji katika masuala mbali mbali iwe katika ushauri au msaada wa moja kwa moja...naombeni msaada tafadhali wanajamvi..
nitangulize shukrani