Raia kumsaidia askari ni fadhila, sheria haisemi kuwa ni lazima. Askari akipigiwa simu, akipewa taarifa kuwa kuna Korea mweusi, panya road ama jambazi, askari asipoenda kuzuia uhalifu na kukamata wahalifu; askari huyo atakuwa amekosa kutekeleza jukumu lake kisheria, kiutaratibu na kimaadili...
Sijakuelewa, pamoja na mapungufu ya Chahali kama povu ulivyolitoa, wewe unapenda wa Tz tufanye nini. Je utawala huu unafuata haki na sheria ? Je Katiba inafuatwa na kulindwa? Maana umetoa povu na maovu ya Evarist, wewe unatakaje tuendekee kuburuzwa kwa kisingizio cha kununua ndege, SGR, na umeme...
Asante Baba Pd Amigu, nakujua kwa jinsi ulivyo na kipawa kikubwa cha utafiti, uchambuzi na ufundishaji wako. Hata hivyo ingawa umekifafanua lakini sisi ni "walei" ingependeza sana kama ungefafanua kipengere ambacho wapotoshaji hawa wanaosema siasa na dini havikai/haviendi pamoja wanakitumia...
Eden hilo sasa lipo wazi saana kuwa Mahakama haiko huru. Kama ulivyotoa ule mfano wa Jaji Wambali kupanda cheo baada ya kubana haki, si muda mrefu kuanzia sasa, utasikia huyo hakimu mtu wa Ifakara, aitwaye Mteite, anapanda cheo kama shukurani kwa kusaidia ccm , na kumfunga mpinzani Sugu wa...
Utata Mtupu !!! Kailima anasema, " Hakuna sheria wala kanuni yeyote ya Uchaguzi wa Rais, wabunge au madiwani inayotaka mawakala wapewe nakala ya kiapo," mtu huyo huyo kwa jinsi alivyo ndumila kuwili na mshabiki wa kisiasa (partisan) anasema mwishoni kwa kuwalaumu Chadema kuwa nakala hizo...
I don't believe what y're saying. Yaani kabisa wewe unaona yanayotokea sasa/leo ni kawaida!!! Ooh my God, are you really saying that what is happening today is normal and that it is like/same to what happened during the past? Do you really mean that. Nadhani kuna sababu mbili za kusema hayo...
Mbona sikuelewi yaani wewe maanake unatetea unyama unaofanywa na kutetewa na awamu hii. Hivi kweli wewe unaipenda Tanzania na Watanzania!! Ama ni mmoja wa wanyamlenge ambao bado wapo Tz. Watu wanateseka wewe unatetea watu kupuuzwa, kunyanyaswa na kuuliwa ! No Mkuu, kunywa maji, tulia...
Mkuu, nimeisoma na kurudia kuisoma hii comment yako, naona ina ukweli. Katika utawala huu, ni lazima uncle P itakuwa ni mmoja wao. Kumbuka alionywa siku ile ktk mkutano na press kuwa jina la Mayalla wanapewa watoto wanaozaliwa wakati wa njaa. Kauli ile ina maana sana. Tangu pale uncle P hadi leo...
Kididimo kwanza nilikuelewa lakini kwa statement yako hii hapa juu, sikuelewi. Maana wale wananchi walokuwa "wanasaidiwa" na RC ni Ndugu zetu, sheria ya utumishi na maadili ya utumishi yanatuhusu sote, RC mwenyewe ni kiongozi wetu sote, hata ukiwa mikoani ukija Dar huyo ndiye Kiongozi wako, na...
Myahudi mweusi -blackjew hujamuelewa Kididimo. Pengine mada haikuwasilishwa uzuri, naona ipo mantiki kujadiliwa kidogo. Ni hivi, kwa nini Bashite akimbilie kujihami eti "mi silogeki" kwa nini amdhanie Afisa Ardhi mkoa, tena baba wa watu jina hata appearance alionekana ni mchaga, wengi tunaamini...
Mkuu Kididimo, Mimi nimekuelewa. Wasioelewa ni wale ambao hawakufuatilia kiki za Bashite za kujidai anawasaidia watu walodhulumiwa nyumba, viwanja, mashamba n.k. Dar. Unajua ukiangalia haraka haraka utaona Bashite anawapenda watu wakazi wa Dar. Lakini tulia kidogo uone anavyotekekeza ndipo...
Hivi huyu jamaa huyu Jestkilla kwa nini muda mwingi namuona anamtetea saaaana Mr. Slim!! Tena anatetea saana. Eti Mr. Slim hana mpango na Tz. Nimwambie hakuna nchi itakuwa kimya na kumuamini jirani yake kihiivyo. Kazi kubwa kwa vijana wa usalama nchi zote huifanya wakati wa amani.
Mimi siwaamini...
Hata kama atapandishwa cheo lakini sisi wananchi tumesema tumetoa maoni yetu kuwa Kamanda Mambosasa hafai na awajibike kwa kujiudhuru ama aondolewe katika nafasi hiyo. Haiwezekani uhai wa Mtanzania umekatishwa kwa amri yake (maafisa wake) halafu anasema hawezi kufuatilia kwa sababu kuna...
Magalemwa; upo sahihi kuwa wakati mwingine unapata Uchaguzi mgumu kama vile unalazimishwa kuwa mjinga. Mfano kuna diwani mmoja huko Tunduma ambaye mfanyabiashara mdogo pale mjini, Ccm kwa ktumia dola (TRA) alibanwa akapewa alternatives 2. Ajiudhuru na kuhamia Ccm ama abakie CDM lakini apewe bill...
Msemaji Ukweli umetoa nadharia potofu kwamba ' ni ujinga kumwambia mwingine ni mjinga." Nadharia potofu kwa sababu kila mtu anajua kuwa wapo watu wajinga. Na ujinga ni kutokujua jambo fulani. Ujinga siyo dhambi na kuwa mjinga siyo kosa. Kosa ni kujifanya mjinga. Ukijifanya ni mjinga unapanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.