Recent content by Wemba

  1. W

    Kibosho na Machame

    Hata mm natamani kupata copy
  2. W

    Kibosho na Machame

    Leteni history Wazee
  3. W

    Kaburi la Escrow litamuacha Magufuli salama?

    Atakuwa anaongelea Kagoda Agricultural ltd labda
  4. W

    Mabasi ya KILENGA ni ya mkubwa gani hapa Tanzania?

    Mzee Kilenga, ni mtu mstaarabu sana. Hata ukikutana naye, hutaamini ndiye yeye
  5. W

    Nani anamkumbuka Mzee Majambo?

    Namkumbuka Marehemu Mzee Majambo. Aliishi Mwananyamala A, Mtaa wa Peramiho; nyumba ya kwanza kabisa pembeni mwa Mwinjuma Rd. Kwa kuuza karanga na vichekesho alijenga nyumba kubwa tu. Nilimfahamu akiwa mtu mzima tayari, na alikuwa chongo ila aliyejaa viroja; hasa siku Yanga imeshinda
  6. W

    BBC Swahili yafungua ofisi za kisasa nchini

    Ni kwamba wamegawa. Dira ya Dunia; yaani matangazo ya Jioni, yatarushwa kutokea Nairobi. Amka na BBC; yaani matangazo ya asubuhi, yatarushwa kutokea Studio za Dsm. Dira ya Dunia Tv imebaki London
  7. W

    IPTL saga: Siri Imevuja, Mwigulu na Zitto Kabwe Kaa la Moto... Ndio waliolipua!

    Kajifunze kujipanga wakati unataka kudanganya. Lameck Mwigulu Nchemba hakusoma mwaka mmoja wala darasa moja na Zitto Zuberi Kabwe. Hata miaka waliomaliza Form Six na kujiunga na Chuo Kikuu ni tofauti saaaana. Mengine nawaachia wajuzi wa mambo wadadavue
  8. W

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    Hiyo ya kuisha lease sikuwa nimeijuwa. Nimeshangaa hata yule wa ngamia, naambiwa leo kaondoka. Lkn juu ya hilo Boma, lipo. Masalia yake yanaonekana (nadhani hata leo) karibu na magadini; baada ya kupita barabara ya zamani ya magari
  9. W

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    Ushahidi wa Bashe unaweza kuwa wa kweli kwani kuna eneo pale Bomang'ombe linaitwa KwaWasomali. Wameishi pale miaka mingi. Pia lililokuwa Boma kubwa la ng'ombe lililoleta jina la mji, inaaminika lilikuwa la Wasomali
  10. W

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    Umeuliza swali la Msingi sana kwani Dini ya Islam imeanzia kihasa pale Korongoni kuja Mbololo, Mudio hadi Kwasadala. Pia, kuweka jambo sawa, Kiriwe lilikuwa jina lake halisi Mzee Mohamed; siyo Ukoo wa Kichaga. Ukoo wake ulikuwa Swai
  11. W

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    Hilo naliamini lkn si la Somalia. Kulikuwa na usemi miaka ile ya 80's kwamba hao wenye asili ya Sudan Kusini wanaudugu na Idd Amin. Na eti aliwahi kuja Kware kusalimia
  12. W

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    walipelekwa Kware sehemu gani Ndugu? Hatujaona masalia yao pale kwa maana ya sura zenye asili ya Somalia. Labda kina Masoud, Kadria na Shete
  13. W

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    Asili ya Uislamu katika eneo la Masama hasa Mudio, ni Wazee (ambao walikuwa vijana miaka hiyo) kwenda kufanya kazi Mombasa. Waliporudi, walikuja na Imani hiyo mpya. Pia walirudi na aina fulani ya mabati ya kuezeka nyumba yanayofanana na madebe. Nyumba nyiiingi uchaggani, hasa Wilaya ya Hai...
  14. W

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni Mwalimu Idara ya Msingi - Halmashauri ya Wilaya ya Siha Kilimanjaro. Natafuta wa kubadilishana kutoka Halmashauri ya Moshi Vijijini - Kilimanjaro. Tuwasiliane 0754 074 684
Back
Top Bottom