Recent content by wemamzuri

  1. W

    JamiiForums Tanzania Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    YAANI waajiriwa WA Tz wao ndo watunga sheria na watekelezaji washeria . Tz hii SIJUI. ILIPASWA sheria zitungwe na wabunge tu kwa kushirikisha wananchi na wataalamu wa sheria. Waajiriwa wasiwepo KABISA mfano mwajiriwa wa Kwanza Rais. Mawaziri wasiwepo bungeni na rais asiwe sehemu ya Bunge...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waliochoka kuhubiri Neno la Mungu na kuchunga Kondoo wa Bwana wavue Majoho na kuingia kwenye Siasa kama alivyofanya Dkt Slaa

    Wanakemea udhalimu unaofanywa na yeyote hata serikali kosa ni nini
  3. W

    JamiiForums Tanzania Padre Dkt. Kitima: Zipo nchi siku hizi zinakuja kujifunza siasa chafu Tanzania

    Dunia ni ya MABADILIKO na maendeleo. Mfano kulikuwa ukoloni ukaondoka, ujamaa ukaondika, VYAMA KUUNDWA NA KUFA, MAPINDUZI, MUUNGANO, KUVUNJIKA MUUNGANO, KUZALIWA NCHI MPYA, NCHI KUBALINI JINA LAKE, NK . INAKUAJE CCM MMENG'ANIA YALE YALE YA 1977? Ktk 2025? KUBALINI MABADILIKO UTASHI WENU...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Padre Dkt. Kitima: Zipo nchi siku hizi zinakuja kujifunza siasa chafu Tanzania

    Mtu awayeyote akifanya jema hatafuatiliwa na mtu yeyote Ila ukifanya dhuluma au UOVU hata. Chumbani utafuatwa, ata IKULU utafuatwa, ktk Nchi UOVU na dhuluma za wazi KABISA halafu unasaema eti usihubiri siasa kwani siasa ni nini hata isiguswe? Natamani SIASA ISEMWE POPOTE KAMA VIKAO VYA...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Padre Dkt. Kitima: Zipo nchi siku hizi zinakuja kujifunza siasa chafu Tanzania

    Wewe ndiye mjinga. Kivuli cha eti siasa isifundishwe kanisani ILI WAOVU WAENDELEZE UOVU WAO. SIASA NI MAISHA YA WATU
  6. W

    JamiiForums Tanzania Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    Sovereign and state ni NCHI (watu wote raia) siyo Serikali. Serikali ni kama tu mtu mmoja anayeweza pia kuikosea sovereign and state. Kwa hiyo mtu yeyote aweza kuitetea na kuilinda sovereign and State. Serikali yaweza kuisaliti na kuifisadi sovereign kama vile mtu mmojammoja anavyoweza kutenda...
  7. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

    UKITULIA SANA WACHOCHEZI NA WAHAINI WA NCHI YETU NZURI TANZANIA NI CCM NA SERIKALI YAO WAO NDO WALIPASWA KUKAMATWA NA WATANZANIA NA KUSHTAKIWA KWA UCHOCHEZI NA UHAINI USHAHIDI WA UFISADI KTKT RIPOTI ZA CAG, WANANCHI KUPORWA HAKI YA KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA, KUTOTEKELEZA MAONI YA WENYE NCHI...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ingredients of treason: Kama kweli Lissu atashitakiwa kwa kosa hilo. Je, kweli amelitenda? Tujielimishe kidogo

    What is sovereign or state? People of tanzania OR some people in power who are not permanently staying but have only dhamana to lead us not to overpower, dictate, colonize, and exploit the Majority State or majority sovereign?. If sovereign or state is people of this nation, then the few...
  9. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tumepokea barua za wabunge wawili kati ya 19 tuliowafukuza uanachama CHADEMA, wanataka kurudi

    Umoja ni nguvu. Waridisheni wote na wasamehewe. Kwa kuwa yote yaliyopita halikuwepo lililokuwa halali kuanzia rais, wanunge ccm na hao wanaoitwa COVID. Wangeishije? Hao WAnaw awake? Choreni mstari wasamehewe muanze upya. Mbona mnachelewa?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ifike time, uitishwe Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM vs Mwenyekiti wa CHADEMA.

    Zamani ilikuwa kikosi maalum wanaenda ikulu ya wananchi kuonana na mhe. Rais hasa wakati wa Kikwete na mambo yalienda. Je rais hawapi ruhusa kumwendea Ikulu. Kwa nini kuzunguka Mbuyu. Nashauri kikosi Cha kitaifa kiundwe na TCD MMWENDEE RAIS IKULU kama atakataa ndipo baadaye mtakuwa na ushahidi...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Issue sio uanamke WA KAMALA HARRIS. Dunia inahitaji kiranja. Pia wamarekani wanatabia ya mabadiliko sio haohao. Hata michezo aposhinda huyohuyo miaka yote Haina Radha.
  12. W

    JamiiForums Tanzania BEI YA UMEME IPUNGUE

    Baada ya Bwawa la umeme kukamilika tunaomba rekebisheni bei za umeme kwa watu wa kawaida. Sisi watu wa kawaida napendekeza unit 1 kwa tshs 100 bila ukomo. Au wekeni umeme kama mabando ya simu ili mtu awe na uhuru wa kuchagua maana kuna wakati mtu kuhitaji umeme mwingi kwa shughuli maalum...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

    Katiba!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Haki inapaswa kuonekana kwa wote na kuthibitishwa pasipo shaka

    Nchi ni ya wote wanachi na serikali lazima itokane na wananchi wanavyotaka. Serikali sio KUBWA kuzidi WANANCHI. maana serikali ni kakundi kadogo kanakopewa DHAMANA kuongoza na kutumikia na kuhudumia WENYENCHI. SERIKALI inapaswa kutekeleza matakwa ya WANANCHI sio kuwaamulia WANANCHI. Pia...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Katiba mpya ni Kitabu tu, Kenya Rais wao amegoma Kabisa kuitii Mahakama na hawana la kumfanya!

    Inatakiwa katiba mpya ila ikitokea mtu anaivunja hilo ni jambo lingine na kuvunja hakuhalalishi kwamba katiba isiwepo iliyobora. Mfano Biblia inasema usiibe lakini wezi wapo sasa kuwepo wezi hakuhalalishi kwamba Biblia isiwepo!
Back
Top Bottom