Recent content by weed

  1. weed

    Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

    Ngoja nifungue kaduka ka kuuza sanda,bandeji, dar. Nadhani wiki hii biashara itanoga
  2. weed

    Komwe ni nini na lina uhusiano gani na wanawake?

    Ni antenna ya mbele ya kichwa
  3. weed

    Kalaga baho Nongwa: fundi redio call

    Mkuu naomba utoe mwongozo kuhusu kazi hapo kiwandani kwa faida ya wengi!au muda mzuri wa kwenda kucheki kazi pale ni asubuhi ya sangapi?????
  4. weed

    Jinsi Osama Bin Laden alivyotekeleza shambulio la kigaidi baya zaidi kuwahi kutokea Marekani

    Makala nzuri kwa watu wanaofuatilia yamayoendelea duniani. Ila kuweka kumbukumbu sawa Osama aliuliwa Pakistan sio Afghanistan. Sitasahau hiyo siku alfajiri nasikiliza BBC Swahili huku napiga kiwi niwahi class.
  5. weed

    Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

    Naogopa kufunguka. Ila sikuzote adui hua anapiga pale anaopoona panakupa nguvu. Fuatilia historia ya marehemu
  6. weed

    Jeshi la Polisi lijisafishe kwa Watanzania kwa tuhuma za kukosa uadilifu

    Kuna mada wengine hatutakagi kuchangia mana zinatia hasira. Muhudumu leta bapa
  7. weed

    Binti wa Jacob Zuma achumbiwa na Mfalme Mswati III

    Kwa mwezi huyu mwamba anakojoa bao ngapi? Wake 16???? Uwongo kuwaridhisha show. Labda kwa hela sio show
  8. weed

    Kwa mtazamo wangu, Wazee wengi hufa kwa njaa

    Mimi Nina mtizamo tofauti kidogo. Kipind kijana na upo Ktk peak ya kushika hela tengeneza cycle ya watu baki ila wewe kweli loyal kwako. Ndugu ndo mchawi wa kwanza.
  9. weed

    Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

    Ukiachana na kuteka meli ni shughuli ya Kula gomba
Back
Top Bottom