Recent content by WAZO2010

  1. WAZO2010

    Bunduki mahakamani Je, mahakama ina tumika?

    Nashuhudia maajabu ya Dunia katika Mahakama za Tanzania. Askari wasio wa ki mahakama walio jaa silaha za visu, mabomu na bunduki wame tanda siyo nje tu ya mahakama bali ndani ya chumba cha mahakama. Kwa nchi za wenzetu hata kwa majirani tu Kenya, hakuna utaratibu kama huo. Na ni kawaida ya...
  2. WAZO2010

    DOKEZO Mwanza: Bilioni 700 za miradi ya alizotoa hayati Magufuli zimetafunwa? Jiji halina maji licha ya kuwa karibu na Ziwa Victoria

    Jiji la Mwanza lina kumbwa na Changamoto ya mgao mkali wa Maji. Huwezi kuamini Tz ni nchi ya aina gani? Na hali ya kushangaza Jii lililo mita 60 kutoka ukingo wa Ziwa Victoria Pande zote iwe Ilemela au Nyamagana. Mfano kituo cha Kliniki, Igombe, Sweya, Mkuyuni, Voil, Mswahili, Luchelele...
  3. WAZO2010

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    Mm nikili, nime soma SAUT na nimefanya kazi SAUT hapo awali. NIKA ONDOKA. Anae haribu chuo cha SAUT, ni Dr. Andre Negussie tu. Huyo m-Ehiopia. Alimfukuza Prof. Mbassa kutoka SUA. Huyu Prof , alikuwa na maono makubwa kwa SAUT. Ila alipigwa vita sanaaa..aka ondoka. Huyo mu ethiopia, ali undiwa...
  4. WAZO2010

    Rais wa Yanga achia ngazi

    Taratibu hiyo mimba uta zaa tu.
  5. WAZO2010

    Rais wa Yanga achia ngazi

    Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu...
  6. WAZO2010

    Vita dhidi ya Rais Samia ni personal issue. Haina mashiko yoyote, Mtanzania usiingie mkenge

    Umeacha utapeli wako wa uganga ume hamia siasa?
  7. WAZO2010

    Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere

    Kwahiyo wamezima ili iweje? TANESCO walipwe kwa mikataba mishahara.
  8. WAZO2010

    Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Wampe RC Anthony Mtaka hiyo kazi nyanya kwake.
  9. WAZO2010

    Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

    Na wizara ya Elimu ilivyo jaa vilaza, wame ongeza combination ya kiislamu ktk biashara ili kujikumba kwa Samia. Wakati ikujua kabisa serikali haina DINI.
  10. WAZO2010

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Shida kubwa ya hao majamaa ni kichwani ni Empty.
  11. WAZO2010

    Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nchi nyingi duniani, wazee wana lipwa fao la uzee. Yeye ana kuja na mawazo mfu karne ya 21.
  12. WAZO2010

    DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

    Hata Aghan wana hii tabia wanatakiwa wanyang'we leseni.
Back
Top Bottom