Recent content by Wazo Kuu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania kuwasaka "Mapapa" waliokimbilia nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kup ambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na mamlaka husika za nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia itaendelea kufanya operesheni za pamoja za kimkakati kwa lengo la kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha wahusika mbele ya vyombo vya sheria. Kwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mrisho ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kukutwa na Dawa za Kulevya aina ya Cocaine

    Tarehe 23 Septemba 2025, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Hemedi Juma Mrisho maarufu kama Horohoro, baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 31 Oktoba 2023, katika eneo la Boko Magengeni...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki Mkutano wa 39 wa Kimataifa wa Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya (IDEC 39) Nchini Marekani

    Nashville, Marekani, 28 Agosti 2025 Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 39 wa Kimataifa wa Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya (IDEC XXXIX) ulioandaliwa na Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za...
  4. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini Maana Ya kuchapishwa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Leo Aprili 18, 2025 Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zimechapishwa katika Gazeti la Serikali kupitia Tangazo la Serikali Na. 249 la mwaka 2025. Nini Maana Yake? Taratibu za Chama cha Siasa kushiriki Uchaguzi Mkuu, kwanza ni...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Jukumu la Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio kutunga Sheria

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima mara baada ya kukamilika kwa zoezi la Vyama vya Siasa kutia saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Mwaka 2025 alisema, kati ya Vyama 19 vilivosajiliwa ni Chama kimoja tu cha Siasa ambacho hakikuitikia wito wa INEC...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amwagiza Afisa Madini Mkoa wa Tabora kuanzisha Kituo cha Ununuzi wa Madini

    Katika Wilaya ya Igunga ili kurahisisha biashara ya Madini katika Wilaya hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora inabainisha kuwa, Wilaya ya Igunga ndiyo inayoongoza katika uzalishaji wa dhahabu mkoani humo ikifuatiwa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

    Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao katika kaya mbalimbali vinavyoathiri biashara na kufilisi mali za wakaazi wa mkoani humo. "Wananchi wanaishi kwa hofu, wafanyabiashara wanafilisiwa mali zao...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mbatia Hakubaliki kila kona, jitihada za kujitetea zimegonga mwamba

    Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari. Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    vipi kuhusu uchaguzi wao wa kikabila pia tuuige?
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Habari za weeknd wakuu..! Kwa wale tunaoendelea kufuatilia uchaguzi wa majirani zetu naomba nitangulize pole zangu za dhati kwa wote kutokana na kile kinachoendelea. Baadhi yetu tuliposema kwamba Tume ya uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) inajiandalia bomu yenyewe kwa kuruhusu media kurusha...
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Labda huko twitter umekopiwa kutoka kwangu
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    HILI NI COMMENT YA BARAZA LA HABARI NCHINI (MCT)
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    kuwa na akiba ya maneno kijana......
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    wasiwasi ni kwamba media zinajengea watu kuamini juu ya jambo...sasa ikiwa vinginevyo itakuwa changamoto.
Back
Top Bottom