hahahhaha mkuu huo sio ushamba,... vipi kama huyo ulie kua nae akikuruhusu uwe na mtu mwingine kwa hiyari yake utaweza kukataa...??? .. inaonekana huwa akikubana kidogo hii namba n ya nani huwa unafunguka ukweli kila kitu .....
kwa mabaharia, ili kutambua uwezo wako wa akili katika kumudu mambo mengi kwa wakati mmoja yakupasa uwe na mademu wasio pungua sita na kila mmoja ajione yuko peke yake...
walivyo anza kukudukua na ww ulikua unaota hivyo, ..?? maana rafiki yangu ndo analo hillo tatizo, kama walianza hivyo nambie nmshauri awai maombi asije kua gwiji la kudukuliwa kama ww
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.