Recent content by waziri/saidi

  1. waziri/saidi

    Wahehe: Uwene Waulige sefu

    Helga.. Nene munya kumtili kumafinga
  2. waziri/saidi

    Wahehe: Uwene Waulige sefu

    Makasi nyela..
  3. waziri/saidi

    Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    Mzuka wa kujua umechaguliwa wapi upogo cku zote so msipanic,
  4. waziri/saidi

    Rais wa serikali ya wanafunzi Bugando atekwa, Utawala wa chuo upo kimya

    Hujui ulisemalo,sio kosa lako!unajua huyo mdede kafeli na kurudia mwaka?asipokaa vizuri atadisco,ada hajabadili kitu,nhif haipo..kajenga vibenchi tu.cha msingi tumtafute as our fellow human being,mengine yatafuata!naona huruma anavyojichanganya na siasa za kipumbavu adi yanamkuta hayo masaibu.
  5. waziri/saidi

    Rais wa serikali ya wanafunzi Bugando atekwa, Utawala wa chuo upo kimya

    Be open,kachangamsha kwa lipi?vyote alivyoahidi hajatimiza hata 1..funguka basi sio unashabikia tu..
  6. waziri/saidi

    Rais wa serikali ya wanafunzi Bugando atekwa, Utawala wa chuo upo kimya

    Mdede hana mvuto kabisa bugando,hata akirudi hawezi shinda.siasa zake ni kutafuta umaarufu tu bila kujitathmini,hakuna asiejua hilo bugando ndo mana kuko kimya kama kawaida.hakuna siasa za vyama bugando,mdede ndo alieleta uchama..
  7. waziri/saidi

    MD chuo cha afya Bugando ni hatarii

    4th yr ni laki 6 na 90 tu kwa mwaka.
  8. waziri/saidi

    MD chuo cha afya Bugando ni hatarii

    Bugando ni one of the 3 universities wanaotoa best products, nenda rufaa mbeya,nenda mnh,etc utaambiwa walivyo fit,hao mambumbumbu wanatoka imtu,kairuki.pia juhudi binafsi inamatter so ni possible kuwapata mambumbumbu toka muhas,cuhas pia kcmc na ukapata some gud products from imtu na kairuki.
  9. waziri/saidi

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    I luv da way u have constructive ideas.. Big up 2money stuna,wise boy etc.
  10. waziri/saidi

    Wanafunzi Ilboru waendelea kugoma

    ohhhh my xcul lilboru..kway was the best to handle it.
  11. waziri/saidi

    CCM wanagawa kombati za Chadema kwa green guard muda huu...

    sure,yote mawili ni possible..poor tanzania,siasa za ujinga tu na siyo kujenga
Back
Top Bottom