Recent content by wazazi

  1. W

    Mafuriko Dar: barabara yafungwa eneo la Jangwani

    Tunapaswa kujifunza kuhusu aina ya usafiri unaopaswa kutumika jijini Dar es salaam, nadhani badala ya mabasi, ingetumika reli ambayo imeonyesha kuhimili na kutosheleza mahitaji soko, reli ina tumia eneo dogo, inabeba mzigo mkubwa.inatumia muda mdogo.
  2. W

    Natafuta kazi ya Hotel kama Waitress au usafi maofisini

    Nakushauri ujiongeze ukasoma Basic Safety Training chuo cha mabaharia (DMI) kisha u apply kwenye cruiser ship , kuna fursa zipo kwa watu waliosomea catering / hotel / cleaning kwa level ya juu na ujuzi wa lugha (umahiri hasa kifaransa na kispanyola) kwenye hizo meli.
  3. W

    ATCL kupeleka ndege Afrika Kusini pamoja na Airhostess walikuwa sahihi, tusichukulie kila jambo ni "ufisadi"

    Nadhan tungepaswa kumpongeza Mh Raisi, angalau kwa nia yake thabiti juu ya kutumia nguvu kazi ya ndani, mara nyingi compliance ya standards, imesisitiziwa kwa kuwekewa minimum standards au specifications za materials itakayotumika, aidha lengo la taifa ni kuhakikisha tunatumia utaalamu wa ndani...
  4. W

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    awali ya yote nikupongeze kwa ujasiri wako,kuamua kukubali challenges,then nijaribu kutoa mawazo yangu................ wadau wengi wasisitiza kuwa bila ya academy za soka ili kuandaa vijana, tanzania haitapiga hatua ktk soka la kimataifa.hofu yangu kuwa utafiti unaonyesha...
  5. W

    Shehena kubwa ya Madawa ya Kulevya yakamatwa,12 washikiliwa!

    bumu linalodaiwa kukutwa na sembe.......................................................................................................................................... You can't win a conflict at work. Winning a conflict means getting the outcome 'you' want regardless of what the 'other'...
  6. W

    Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

    tayari miaka mi 5 imeshapita TEMESA hawana budikukifanyia marekebisho kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa,SOLAS 74 .
Back
Top Bottom