Recent content by wazawa

  1. wazawa

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Zai wa Norah aka baba styles
  2. wazawa

    Whatsp status ni yangu usinipangiee cha kupost

    Huyo uliompost ninani ndio mwanao., mke wako au demu wako.., gari ni yako hivoo mbona nzuri n.a. nyumba je ushahamiaa Usiniuulizeee maswali n.a. usinipangiaa cha kupost
  3. wazawa

    Tulipiga naye kura 2015, yeye alichagua Elimu bure hadi sekondari akasahau chuo kikuu

    Una reveal ur identity Kwa kupost hapa na Facebook bora uchaguee moja
  4. wazawa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkono ukiuunga utalingana na mguuu
  5. wazawa

    Urafiki wa Lukuvi na Magufuli umeanza lini?

    Mtu akiwa raisi lazima awe chini ya secret service
  6. wazawa

    Msaada: Anatomy of the hand notes

    Tushakujua we medical student
  7. wazawa

    Hata Kama ni utumishi wa umma, wananchi mtuheshimu

    Wananchi wamekuwa wakali kwa watumishi wa kada mbali mbali za umma hususani kwa upande wa afya kuwa wakali kudai huduma bora kwa kigezo kuwa kodi zao ni inayoatuajiri, huku wakiwa wapole kwa viongozi ambalo ndio chimbuko la ubovu wote wa huduma, Hata Kama ni utumishi wa umma tunaomba heshima...
  8. wazawa

    Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

    Ndio nani
  9. wazawa

    Padre Mapunda acha kutumia hoja dhaifu za OIC na azimio la Abuja kuwagawa watanzania

    Makala Ya padri haikuwa ya uchochezi? Ni stahili kwake kuzungumzuia ila akibishiwa au kupingwa ndio tunaowaona ni wachochezi Mbona tunafunga milango Ya fahamu na kuruhusu uduni wa mawazo katika kuona Au kutaka kuskia kile tutakacho tu
  10. wazawa

    Madaktari wa dotcom mnaboa sana

    Hizi simu Za mikopo zinawaziziua watu kweli na kuacha kufata kanuni Za kitaaluma sawa na polisi apige picha wakati anamuadhibu mtuhumiwa, benka apige picha burugutu la pesa mwalimu apige picha majibu Ya mtihani na kupost na mifano mingi tu ni kuwa wanataaluma wamekosa weledi wa kusimamia kanuni...
  11. wazawa

    Madaktari wa dotcom mnaboa sana

    Kumezuka tabia sugu Ya hivi karibuni kwa madaktari na manesi kupiga picha faili la mgonjwa lenye taarifa Za mgonjwa ila zina misdiagnosis Au mismanagement kwa muktadha wa kuonyesha kuwa daktari husika amekosea Au kuonyesha ujing a wake licha Ya kutokuzingatia taarifa Ya mgonjwa n Siri je ni...
  12. wazawa

    Natafuta watu kama 50 tu, tufanye maandamano kupinga MAUAJI kupitia AJALI

    Imekuwa kama fasheni sahivi tungoja kuskia basi flani maana ajali zimekuwa Za uhakika kama kuona usiku Au mchana na sasa tumeanza kuchomwa sasa duu kwa nn tustahiki adhabu juu ya adhabu hofu Ya ajali na moto kwa mpigo na ubaya gani juu ya nafsi inayopitia kwa mpigo
Back
Top Bottom