Recent content by Wazalendo_Tz

  1. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Wakuu napendekeza mabadiliko ya katiba yatayo mfanya mama yetu kipenzi atawale milele Amefanya mengi sana mazuri
  2. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani

    Umeongea facts sana mzee
  3. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani

    Mkuu kwa kawaida hata wanaume wengi tunajua jinsi inayvokua kama tumelomba round ya kwanza tukirudia tena kuna ile hali nafikiri unaijua sasa alikuta hali hio
  4. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani

    Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe. Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo analiwa na huyo kijana wako, jamaa akatengeneza mtego akafika usiku alipofungua mlango alikuta mke yuko...
  5. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Mimi niliwahi kua na pesa kama m40 nikapoteza yote kwenye biashara nikabaki sina kitu mkewangu akawa anatumiwa pesa kwao ananunua chakula aisee masemango kila kukicha ule uana ume uliondoka alinituma hadi kuosha vyombo nilikataa dharau nilipambana sana hadi sasa nimerudisha ile heshima sasa huyo...
  6. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Vijana na biashara za viwanda

    Fact kabisa mkuu
  7. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Vijana na biashara za viwanda

    Amka kifikra
  8. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Vijana na biashara za viwanda

    Wakuu hivi kwanini vijana hatugusi kabisa biashara za viwanda tunakimbilia maduka tu Wakati miaka ya nyuma pale kitumbini palikua ni soko la wahindi tu sasa wamebaki wachache wengi wao Wamehamia kwenye uzalishaji wa bidhaa kwanini sisi tusifikirie huko au tunakwama wapi
  9. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Utajiri na kutoa sadaka

    Miguuu miwili unamaanisha kanga roo au kuku
  10. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Utajiri na kutoa sadaka

    Point yako ni ipi mkuu
  11. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Utajiri na kutoa sadaka

    Ukweli ni upi kuhusu utajiri na kutoa sadaka za mali kwa kuwapa mayatima au watu wenye mahitaji maalumu nakumbuka niliwahi Mfata tajiri mmoja wa viwanda hapa nchi nikamuambia jinsi naendesha biashara yangu lakini sioni mafanikio akaniambia toa sadaka halafu usitangaze utafanikiwa nikabaki...
  12. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

    Hii ni kweli kabisa mzee ni suala la muda tu mwanamke hata umpe nini atakuchet hata na mfanyakazi wako wa
  13. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Je, kilichotokea leo siku ya sabasaba ndiyo sababu ya tajiri Dangote kuichagua Kenya badala ya Tanzania?
  14. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa maandamano

    Na wewe hamia kwa shemeji yako
Back
Top Bottom