Recent content by Waukaye

  1. W

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limfukuze kazi askari huyu mara moja!

    Jamaa alimtupa katikati ya maji hajamvusha mpaka mwisho kwahyo sawa tuu
  2. W

    JamiiForums Tanzania SIO MCHINA JAMANI HUYU NI Orignal

    Duuuuh....nataman nimpakate aisee
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    UKULU ndo wapi?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Magari Best Price offer from 7Mil

    Jamani kama mnaitaji gari mshapewa namba hizo hapo juu chukueni mtumiwe picha na maelezo yote mnayoitaji cyo kukosoa bila msingi Mi nakushauri gariexpress usihangaike kujibizana na watu coz unaweza kupanic ukaharibu mambo Kwakawaida wenye nia na gari watakutafuta hewani kupata details na picha...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Afande Sele kufata nyayo za Mzalendo Zitto, kukataa posho akiwa mbunge

    Hivi kashaacha kuvua nguo jukwaani?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Kuna nguva mwingine yupo whatsap katupia mchupi mlegezo hatariiii
  7. W

    JamiiForums Tanzania Muuguzi amchapa mjamzito viboko, Mtoto afia tumboni, hali ya mama utata.

    Huyo muuguzi apelekwe jela ya wanaume pale segerea tena afungwe pamoja na wabakaji kwa muda wa mwezi mmoja tuu afu aachiwe huru
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Mbona huyo mwalimu kama kapatia tuu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wa pikipiki wapigwa na wananchi

    Kwanini wanawaita tigo hao mapoliccm wapikipiki
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kiumbe gani kinachokutisha maishani na usingependa kukutana nacho milele?

    Najiogopa mwenyewe....yani natamani kujikimbia aisee
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Gwajima kortini Kisutu

    Mpaka baba wa watu alizima lkn avoamka tuu bado wanae aisee daaah.... Kashajua kosa lake wamsamehe tuu...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika ubora wake leo asubuhi

    Hahaaa....lowasa anawatoa mapovu wenzie aisee sasa kama mnajua amefisadi mbona hamjawahi kumshtaki mahakaman? Na kama anavunja kanuni na taratibu za chama mbona hamumchukulii hatua? Tatizo lenu hamuwez kufanya maamuzi magumu mnaishia kulalamikiana wenyewe kwa wenyewe tuuu Kama ufisadi ndani ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Je, Ni HAKI Kura Ya Maoni Kupigwa Siku Moja Na Uchaguzi Mkuu?? By Mwenyekiti Wa Tume

    Source ya habari ni ipi
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Central Bank calms Down Dollar Fears

    Duuuh hii hatari
Back
Top Bottom