barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
nimshauri tu kuwa Uraisi si mazoezi bali ni sera kama ni hivyo hata matumla anafaa kuwa raisi basi, mazoezi ya sikumoja hayasaidii aache usani.
![]()
Huyo waiti hapo nyuma yake kulia ni Zungu au!
nimshauri tu kuwa Uraisi si mazoezi bali ni sera kama ni hivyo hata matumla anafaa kuwa raisi basi, mazoezi ya sikumoja hayasaidii aache usani.
![]()
Mimi ni mmoja wana ccm naccjawahi kujiunga na chama kingine! Km utahitaji nitakupa na kadi na. Yangu ya uanachama... Ninachikijua Mimi hoja yako unataka kuwashawishi watz kwa ubaya wa Lowasa ....kifupi acha Lowasa asimame watu wataamua....ukileta uchambuzi wa mambo CCM Hatuko salama anzia wajumbe wa serikali za vijiji mpaka juu tumeshakiuka maadili ya uongozi. Amin nakusmbia km unataka tuaibike endeleza kutoa ushahidi wa maovu ya Lowasa yaani watu wanajua jinsi tulivyofisadi nchi hii kinachotulinda ni DOLA yetu.
Umeuliza swali jema. Jamaa alijiuzuru na sio kustaaf.
Ni kweli alikuwa Waziri Mkuu wa Zamani aliye Jiuzuru. Tungepewa sababu za kina, kwanini alikiuzuru.Waziri mkuu wa zamani!
Unachuki binafsi na hii familia! Pamela anahusika nini sasaHuu ulagahi anaweza kumfanyia pamela Lowasa ndiye anaweza kuamini sarakasi hizi alizoandaa.
Waziri mstaafu au alie jihuzuru?
Hebu iangalie vizuri hiyo picha utaona waliokaribu nae wanakimbia katika mtindo wa "hapa akidondoka nitawahi kumdaka" yaani kama vile mtu na mwanawe anayejifunza kutembeaYuko wapi yule kijana wa juzi aliyesema lowasa mgonjwa aje ona mtu anavyokata upepo huku,na mwaka huu mtatafuta msitu tuu
nimshauri tu kuwa Uraisi si mazoezi bali ni sera kama ni hivyo hata matumla anafaa kuwa raisi basi, mazoezi ya sikumoja hayasaidii aache usani.
![]()
Kwa wapenzi wa MUVI huwa inanoga sana ukiangalia pia "behind the scene" ya muvi husika.......najiuliza nyuma ya pazia ya hiyo picha ya jogging, siku kabla ya jogging daktari anacheki vital sign, blood sugar,etc..kisha ana-oder dawa fulani apewe dozi ya juu kidogo, na maelekezo mengine mf, ukisikia kichefuchefu piga 999, hahahahaha nataniatu ili kukamilisha igizo!Mlisema anaumwa hawezi kutembea leo anakata upepo kama bale unatuambia urais sio mazoezi..lowassa ni mwanaharakati lazma mjitundike mwaka huu!
nasikia chama chake kita mpiga marufuku kukimbia hadharan!
Ni kweli alikuwa Waziri Mkuu wa Zamani aliye Jiuzuru. Tungepewa sababu za kina, kwanini alikiuzuru.
Kuna tofauti kati ya Kustaafu na Kujiuzuru.Mbona unanilisha maneno?