Recent content by waugh

  1. W

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kubadilishana kituo kutoka wilaya ya ngara kwenda muleba. MAWASILIANO 0688597441
  2. W

    Pride price

    Waheshimiwa wanasheria, Kuna jambo ambalo linanitatiza kwa muda mrefu naomba msaada wenu Kuhusu Pride Price? Je, Kwenye sheria zetu imo, na zinasemaje? SHUKRANI
  3. W

    Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    by waugh Hao viumbe wawili wanatechnology ya ajabu sana, mfano ndo watengenezaji wa ndege zisizokuwa na ruban.
  4. W

    Mwenye utaalamu wa majini ya pesa

    by waugh nashukru kwa aliyeheshimu mada yangu. Nia iliyonifanya niandike ww huwezi kunibadilisha,na mimi nimetamka wazi kwa wahusika tu na sijahitaji wenye matusi na kejeli.kwanini?watanzania mnapenda matusi na lawama? Haiwezekani kila kitu ni lawama.
  5. W

    Mwenye utaalamu wa majini ya pesa

    Naomba mhusika ambaye aliwahi kufanyiwa mchakato wa jini la pesa anijuze ni nini nikifanye ili nami nilipate. Nawasubiria wenye taaluma hii.
  6. W

    Kikwete: Zama za kuamini kuwa CCM ikipitisha mgombea huyo ndio anakuwa Rais zimepitwa na wakati

    kwa nafasi hii napenda kukushukru mkuu wa nchi kwa kuongoza nchi kwa uwazi na demokrasia iliyotukuka katika dunia nzima. Mimi kama mwanachi wa kawaida nakutakia kheri na pole ya kulitumikia taifa,utakapokuwa umerudi nyumbani na kuwa mzee wa familia.
Back
Top Bottom