Mazee habarini
kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo.
Laptop yangu nikiwasha inawak vizuri naingiza password fresh.. kisha nikitaka kuanza kufanya kazi tu ina jizima yenyewe alafu ndani ya sekunde 30 ina restart tena.. itafanya hivyo muda wote mpaka nachoka nzima na kuchomoa charge.
Alafu...
Niliandika Mambo Mazito kutoka moyoni Mwangu, yanayo niumizia sana..ila Baada ya kuyatafakari..Nimefuta Ili nisije Nika Muudhi Muumba wangu..
Asante.. Admin naomb ufute hii thread kabisa ondoa na tittle yake..
Ameeni.
Yaan ukipata majibu uje ahapa utoe mrejesho.. maana watu wanalia sana nimekuta malalamiko ya watu kutozwa hela miaka zadi ya kumi hawapewi viwnja zaidi ya kila siku mikutano na michango isiyo kwisha.
Wizara ya Ardhi, Takukuru, na Usalama wa taifa Fuatilieni Utapeli Unaofanywa Mkoa wa Kilimanjaro: Watu wengi wameshalizwa mamilion na ni mchongo wa watu wa Manispaa, viongozi wa wilaya na wakishirikiana na chama cha Ushirika cha mchongo hapo Himo(Lokolova).
Niende moja kwamoja kwenye issue...
Dah.. Nina miaka mi5 Sina ajira.. natamani sana kujua ulifanyaje ukapats uko..natani kufanya nje ya nchi.. maana kingereza kinapanda sana na uzoefu wa kufanya na makampuni na NGOs .. so help me God. kupiti mtu hapa nipate mchongo na mm nijihisi kulamilika katik haya maisha.. uchumi ulio nitenga...
Cha ajabu ni kuwa, Hana kanisa Rasmi ana kodisha maeneo tu na kuhama hama Leo vatikan Sinza kesho yupo Tanganyika peakers .. sasa una jiuliza kama ana uwezo wa kujenga hotel Yake binafsi
Mbona hakuweza kuzikusanya amjengee Mungu Madhabahu ya Kudumu? akifa leo Ana acha kanisa gani la kuendelea...
Amini usi amini moja ya watumishi walio niona kanisani kwakwe na waka niambia kuwa anaona roho za mizimu zina nifuatilia na aka niombea ni huyu Sunbella.. na nika hudhuria kanisani kwake sana..ila wapi hali ipo pale pale..
Nisha sali madhehebu yote matano .. na kasasa nime ishia kuokoka niko leo kwa Mwamposa, kesho kwa Suguye kesho kuwa kwa Kuhani Musa, kesho yake kwa Muliri kinondoni .. na hata kwa Makongo kwa Mtalemwa .. yaan kwa sasa na cheza n TAG churches maana Roma, Lutheran, Sabato na Angalina wameshindwa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.