Nakubaliana na wew mtoa post, but kwa mtazamo wangu wengi ni under 22 hiv. Wengi wanajiongezaga/ kuwazimia wahuni wa kitaa, college ile wanakuja kuwa na determination na ndoa tayar wanajikuta singles parent.
Hii ina favour kwa Ccm maana kuna ambao hawajui hii paper ilivyo so kwa watakao kua na kapressure kidogo pale ndan wakifikir wanachukua mda mrefu, wakishuka mpak no 10. Wasipoiona Chadema wanaez piga kwa mwngine ili tu wasiipe Ccm. Na itakua loss kwa Chadema. Hii ndo technique wanadhan itawap...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.