Mwenyekiti wa Uamsho ,Mweka Hazina wa Faragha ya Hai mjini ,Clotilda Massawe na Katibu wa Uamsho Joseph Robert wamesema mgogoro ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Hai mjini ulianza muda mrefu na kwamba walikaa kimya ili ushughulikiwe ndani ya kanisa.
“Huu...
HAI .
VIONGOZI watatu wa kikundi cha Uamsho katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Hai mjini wanaotajwa kusimamishwa kwa madai ya kuvamia na kuvuruga kikao cha uongozi Usharika na Waimbaji wamejitokeza hadharani huku wakimtuhumu Mchungaji wa kanisa hilo ndio chanzo...
MGOGORO unafukuta katika Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Hai mjini baada ya Baraza la Usharika kuwasimamisha viongozi wake watatu kwa madai ya kuvamia na kuvuruga kikao cha uongozi Usharika na Waimbaji.
Baadhi ya Viongozi wanaotajwa kusimamishwa...
DIWANI wa Viti maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Moshi anatajwa kuingia matatani baada ya kudaiwa kumtumikisha kama mhudumu wa baa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Longido, iliyopo mkoani Arusha.
Mwanafunzi huyo anatajwa kutoweka kwa zaidi ya siku 30...
Hai.
WATU 16 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya wakituhumiwa kuhusika na ubadhilifu wa zaidi ya Sh Mil 200,fedha za mradi wa ushirika wa Umoja wa watumia maji kijiji cha Mijongweni (UWAMI) .kwa taarifa za kina fuatilia taarifa zetu za habari.
MOSHI
JUMLA ya Mashahidi 34 wanatarajia kutoa ushahidi katika shauri la mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Scholastica iliyopo Himo,Humphrey Makundi.
Mbali na Mashahidi hao pia upande wa Jamhuri umepanga kuwasilisha vielelezo 15 vikiwa katika mfumo wa nyaraka pamoja na...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Kilimanjaro inawashikilia “vigogo” wawili wa Bodi ya Kahawa nchini (TCB) .
Wanaoshikiliwa wametajwa kuwa ni pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Fedha ,Esther Mlay pamoja na Mhasibu wa Bodi ya Kahawa,Hashim Mohamed wanaodaiwa...
Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la Jamhuri na Tanzania Daima la leo kuwa vielelezo muhimu kwenye kesi ya mauaji inayomkabili mmiliki wa shule ya sekondari ya scolastica na wenzake vimetoweka.
SWALI. Nani wanafanya huu mchezo na wanafanya kwa maslahi ya nani na wamekwisha chomoa vielelezo...
Tunaposema kuna watumishi wa wameamua kwa makusudi kuigombanisha serikali na wananchi wake ni hawa wa Tanesco ,Mwanza.
Eneo hili la ndufye licha ya kupitiwa na miuondombinu ya umeme katika mapaa yao lakini bado wamekosa huduma hiyo mbaya zaidi nyaya zilizopita katika eneo hilo zi.eenda kuwasha...
Waziri wa Maji na Umwagiliaji tumepata taarifa uko mkoani Kilimanjaro kuna mambo ambayo tunaomba uyatupie macho wakati wa ziara yako moja wapo ni huu mradi wa maji taka ambao bomba lake limepita Pasua.mimi sio mtaalamu lakini bomba zilizolazwa hapo nina mashaka nazo.
Kingine fanyabuchunguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.