Wakuu kwa heshima mie mwenzenu na wazo la biashara ya vifaa vya simu so niko sumbawanga ila napata shida sana kupata bidhaa za jumla nimekua nachukua kwa wenye maduka makubwa wanaouza jumla mie nauza rejareja lakini faida inakua ndogo kila nikiuza
Sasa nimeskia Dar bei poa sana natami na mm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.