Recent content by waseinc

  1. waseinc

    JamiiForums Tanzania Simu yangu samsung S6 imeandika hivi gafla na imejilock

    Kama bado haujafanikiwa na una computer na mtandao mzuri wa internet naweza kukusaidia remotely ndugu
  2. waseinc

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Inawezekana mkuu ni vyema ungeandika model tungekusaidia kama ni zile zinazodai code hazihitaji computer ila kama haidai unahitaji computer kuunlock
  3. waseinc

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Hiyo inatakiwa utoe kwa njia ya server ebay au kwenye unlocking website mbalimbali
  4. waseinc

    JamiiForums Tanzania Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Ukishindwa kabisa tunaweza fanya remote services kuondoa hiyo frp dm kama bado.
  5. waseinc

    JamiiForums Tanzania Msaada: T-SMART 4G NCK CODE

    zinaunlockicka remotely bila shida kwa zinazoomba code tunakupa codes na zinazohitaji kuunlock kwa usb unapaswa uwe na pc na chanzo cha mtandao na software inayoitwa team viewer ther rest tunakumalizia wenyewe remotely
  6. waseinc

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutoa Google FRP kwenye Samsung A20s

    kwa urahisi kama una pc na chanzo cha mtandao unaweza ukagoogle magma tool kisha unanunua credit 4 tu frp inatoka ndani ya sekunde 10 tu hakuna bla bla.ila kwa hiyo simu unabypass kirahisi kwa easy samsung frp.nakutakia kila lakheri
  7. waseinc

    JamiiForums Tanzania Not registered on network

    Ndio hivyo chief inabidi akifix asifanye factory reset atumie hvyo hivyo
  8. waseinc

    JamiiForums Tanzania Msaada nikiweka graphics card yangu inanipa ujumbe huu

    Ungeweka bei na mawasiliano ingependeza zaidi
  9. waseinc

    JamiiForums Tanzania Not registered on network

    Upo sawa kabisa anatakiwa afanye network repair kitaalam(patching certificate) na siku utakapoifanyia factory reset tatizo litarudi since simu itapoteza ile patch.Ili uweze kurepair network simu inahitaji super user ndio maana mnashauriwa kuroot ili kupata super user access ambayo inakusaidia...
  10. waseinc

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Tumia dcunlocker
  11. waseinc

    JamiiForums Tanzania Huawei P9 sawa na bure, haina tatizo

    boss check pm yako faster
  12. waseinc

    JamiiForums Tanzania Nina 200,000/= Natafuta Laptop

    dAndrew nicheck kupitia 0712842283
  13. waseinc

    JamiiForums Tanzania Naulizia mabasi madogo ya kukodi

    nicheck hapa 0712842283 Andfaru
  14. waseinc

    JamiiForums Tanzania Laptop za bei nafuu na zilizo katika hali nzuri kuanzia laki tatu

    nipo dar mkuu natuma popote fanya kunicheck kwa simu 0712842283
  15. waseinc

    JamiiForums Tanzania Semina na Fursa kwa wote walio tayari kuwekeza kwenye internet

    nipo interested na hiyo kitu email yang waseinc@gmail.com
Back
Top Bottom