Naomba msaada wa kutoa Google FRP kwenye Samsung A20s

Kama simu ni yako weka gmail washa wifi kisha unga internet itaomba gmail yako na password, kama simu sio yako Peleka kwa Fundi simu mwenye ujuzi aliye karibu yako.

Hizo simu sasa hivi ziko updated sana security yake iko juu kama sio mzoefu hutoboi.
 
Ilifanyaje had FRP lock ikaingia? Apo hadi u download firmware ya iyo simu u run kwa kutumia Odin.3 . Ikiwaka itakuuliza email iliyokua inatumika kama siyo yako na huikumbuki iyo simu tupa tu haiwez tumika tena
 
Sio kweli kaka, inatoka vizuri, tatizo maelekezo ya kuitoa ni magumu, hasa kumfundisha mtu ambaye pengine hana ABC za mambo hayo..ila inatoka
 
nicheki pm nikusaidie kutoa utalipia 20,000 sipunguzi haya 100 kama huwezi basi
 
kwa urahisi kama una pc na chanzo cha mtandao unaweza ukagoogle magma tool kisha unanunua credit 4 tu frp inatoka ndani ya sekunde 10 tu hakuna bla bla.ila kwa hiyo simu unabypass kirahisi kwa easy samsung frp.nakutakia kila lakheri
 
Back
Top Bottom