Recent content by warsha

  1. warsha

    JamiiForums Tanzania Mshahara nao tumegomewa!!!!

    Acha bhasi
  2. warsha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tv series za kijasusi...

    Ila hiyo nikta ni shida,tafta athenal goddess of war
  3. warsha

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?

    Kama kanipatia ivi kwenye ab
  4. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Mkuu siwezi kukubari kuwa spea wanawake ni wengi mno kama ni hivyo ila niseme aliniboa hicho tu
  5. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Mkuu ahsante kwa somo hakika nilikuwa tayari nimesha mwahidi kumripia kalo anasoma diploma mwalim anajiendeleza yaani nimeumia sana
  6. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Ndio maana nimejaribu kushea na wadau nisaidiwe maana alikuwa ameshanihakikishia akija tu jamaa anaomba talaka
  7. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Ahsante mkuu
  8. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Kiongozi ahsante
  9. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Kiongozi umesomeka vyema
  10. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Ahsante mkuu
  11. warsha

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

    Habari za asubuhi jamani Kama nilivyoanza kuandika hapo juu nilitokea kumpenda mwalim x kutoka sehem k baada ya kumpenda nilimfuata na kumweleza nia yangu na yeye hakusita kusema keshavutiwa na mimi ila tatizo alikuwa tayari ameshatolewa mahali ina maana tayari yupo kwenye ndoa. Jamaa...
  12. warsha

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wewe ni mchonganishi na hujui kudanganya mara ulisikia kijiweni mara ukaona mzee anapiga sim mmh
  13. warsha

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli : Nilioa mwanamke jini na kuzaa nae

    Nzuri hiyo
  14. warsha

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli : Nilioa mwanamke jini na kuzaa nae

    Tamm
Back
Top Bottom