Nimeanzisha mahusiano na mke wa mtu bira kujua

warsha

Member
Nov 17, 2016
91
46
Habari za asubuhi jamani

Kama nilivyoanza kuandika hapo juu nilitokea kumpenda mwalim x kutoka sehem k baada ya kumpenda nilimfuata na kumweleza nia yangu na yeye hakusita kusema keshavutiwa na mimi ila tatizo alikuwa tayari ameshatolewa mahali ina maana tayari yupo kwenye ndoa.

Jamaa baada ya kumzalisha alimwacha mwanamke kwa matusi makali ilifikia hatua hadi jamaa hamjali mtoto mpaka wati mwingine mwanamke anaambiwa akipata mme aolewe sasa baada ya kuingia mimi juzi nilipata nafasi ya kwenda kuonana na huyo mwanamke tukafanya yetu baadae tulirudi safi tu.

Jana mwanamke jamaa amekuja amefikia hotel x anataka amwone hawezi kufika anapoishi mwanamke sababu jamani hana imani na mwanamke mida ya jioni jamaa akapelekewa mtoto wake baadae ya maongezi marefu jamaa aliomba simu ya mwanamke na kukuta meseji za mahaba nilizochati na demu ghafla akabadiri upepo jamaa na kumwambia mwanamke sikupi talaka bado nakupenda na ninahaki zote bado wewe ni mke wangu kama mnavyojua wenzetu wanahuruma akaachia akapiga na kumwahidi ataanza kumhudumi ila ya hapo aliondoka mwaka mzima na miezi mitatu mpaka mtoto ameshakua

Sasa hapo tufanyeje na sisi tulikuwa tunasubiria akija kumwona mtoto na talaka jamaa atatoa,niachie au niendelee nahofia jamaa alipatwa na tamaa tu akaomba tunda baadae tena litamwacha sipendi nimwone yupo kwenye majonzi huyo dada ana kila sababu za kuheshimiwa na kuwa mke wa mtu
 
Habari za asubuhi jamani
Kama nilivyoanza kuandika hapo juu nilitokea kumpenda mwalim x kutoka sehem k baada ya kumpenda nilimfuata na kumweleza nia yangu na yeye hakusita kusema keshavutiwa na mimi ila tatizo alikuwa tayari ameshatolewa mahari ina maana tayari yupo kwenye ndoa jamaa baada jamaa kumzarisha alimwacha mwanamke kwa matusi makari ilifikia hatua hadi jamaa hamjari mtoto mpaka wati mwingine mwanamke anaambiwa akipata mme aolewe sasa baada ya kuingia mimi juzi nilipata nafasi ya kwenda kona na huyo mwanamke tukafanya yetu baadae tulirudi safi tu jana mwanamke jamaa amekuja amefikia hotel x anataka amwone hawezi kufika anapoishi mwanamke sababu jamani hana imani na mwanamke mida ya jioni jamaa akapelekewa mtoto wake baadae ya maongezi marefu jamaa aliomba simu ya mwanamke na kukuta meseji za mahaba nilizochati na demu ghafla akabadiri upepo jamaa na kumwambia mwanamke sikupi talaka bado nakupenda na ninahaki zote bado wewe ni mke wangu kama mnavyojua wenzetu wanahuruma akaachia akapiga na kumwahidi ataanza kumhudumi ila ya hapo aliondoka mwaka mzima na miezi mitatu mpaka mtoto ameshakua sasa hapo tufanyeje na sisi tulikuwa tunasubiria akija kumwona mtoto na talaka jamaa atatoa,niachie au niendelee nahofia jamaa alipatwa na tamaa tu akaomba tunda baadae tena litamwacha sipendi nimwone yupo kwenye majonzi huyo dada ana kila sababu za kuheshimiwa na kuwa mke wa mtu
We piga mashine akija mwenyewe mwachie
 
Muulize mhusika kama angali bado hajakinai kwa yaliyo mfika mwanzo jibu lake litakufungua ujue uendelee au umuachiye mumewe karudi kumbuka penzi haligawanyiki mzani utalala upande tu
 
Kiongozi umesomeka vyema
 
kwa huo uandishi nishapata picha huyo mwanamke ni mtu wa aina gani, achana nae tafuta mwingine mkuu
 
Habari za asubuhi jamani
Kama nilivyoanza kuandika hapo juu nilitokea kumpenda mwalim x kutoka sehem k baada ya kumpenda nilimfuata na kumweleza nia yangu na yeye hakusita kusema keshavutiwa na mimi ila tatizo alikuwa tayari ameshatolewa mahari ina maana tayari yupo kwenye ndoa jamaa baada jamaa kumzarisha alimwacha mwanamke kwa matusi makari ilifikia hatua hadi jamaa hamjari mtoto mpaka wati mwingine mwanamke anaambiwa akipata mme aolewe sasa baada ya kuingia mimi juzi nilipata nafasi ya kwenda kona na huyo mwanamke tukafanya yetu baadae tulirudi safi tu jana mwanamke jamaa amekuja amefikia hotel x anataka amwone hawezi kufika anapoishi mwanamke sababu jamani hana imani na mwanamke mida ya jioni jamaa akapelekewa mtoto wake baadae ya maongezi marefu jamaa aliomba simu ya mwanamke na kukuta meseji za mahaba nilizochati na demu ghafla akabadiri upepo jamaa na kumwambia mwanamke sikupi talaka bado nakupenda na ninahaki zote bado wewe ni mke wangu kama mnavyojua wenzetu wanahuruma akaachia akapiga na kumwahidi ataanza kumhudumi ila ya hapo aliondoka mwaka mzima na miezi mitatu mpaka mtoto ameshakua sasa hapo tufanyeje na sisi tulikuwa tunasubiria akija kumwona mtoto na talaka jamaa atatoa,niachie au niendelee nahofia jamaa alipatwa na tamaa tu akaomba tunda baadae tena litamwacha sipendi nimwone yupo kwenye majonzi huyo dada ana kila sababu za kuheshimiwa na kuwa mke wa mtu
Zingatia matumizi ya vituo..halafu tofautisha L & R
 
Mke wa mtu ni sumu, jiandae kuliwa kiboga. Hakikisha una vaseline mfukoni, itakuja kukusaidia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom