Recent content by Waraghaa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi afumwa akimbaka binti yake chumbani

    Ha ha haaa inawezekana
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango: Hali ya Uchumi ipo imara, deni la Taifa laongezeka na kufika trilioni 49.37

    Napata hasira sna Kwn ninyi huw mnapoteza muda kutuletea ripot uchwara ili tufanyeje
  3. W

    JamiiForums Tanzania Burundi calls for special summit over Rwanda row

    Huyu jmaa wakati raia wake wanauawa kwake wakat wa mgogoro wa kisiasa Alikataa kuingiliw na vyombo vya njr Leo anarudi kuomba watu waingilie mgogoro wake na Rwanda Kwnza huwa hahudhurii vikao Apambane na hali yake
  4. W

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Kwa kweli mengi naunga mkono Ila LA *ushoga* waachane nalo sisi hatutaki Mashoga kabisa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

    Huyo jamaa yako Kwnza sio romantic ni mgeni wa mambo hayo Pili inaweza kuw alishaumizwa na mtu hvyo element za upendo zilishapotea kabisa Yeyee anakuhitaji ila Hana uprndo Moyoni na hii hutokea kw mwanaume pale anapotendwa na kuumizwa sna Hujikuta moyo wake hauna hisia ya kupenda japo japo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kutoa rushwa kwa Waziri Lukuvi akutwa na kesi ya kujibu

    Gonger kw kutoa ripoti
Back
Top Bottom