'MASINGO MAZA NA MASINGO FATHER', MAYATIMA WAPYA WANAOHITAJI KITUO CHA MALEZI CHA TAIFA.
Ndugu zangu, Idadi ya MASINGO MAZA, inatishia uhai wa KIZAZI KIJACHO. Hivi sasa tunaanda KIZAZI ambacho hakitatambua nafasi ya BABA kwenye familia. Iko haja kama Taifa kwa miaka 25 ijayo, tuje na tiba ya...
BARAZA LA MAADILI LA TAIFA KULINDA KIZAZI KIJACHO.
Suala la maadili, ni hoja mtambuka, ni suala nyeti katika jamii lenye kubeba taswira ya aina ya jamii tuliyonayo. Maadili sio kama wengi wanavyodhani , kuwa labda ni vile kuvaa mavazi ya heshima , kusalimiana na labda mdogo na Mkubwa...
Hatimaye kila kijana anapenda biashara, kila kijana anafanya ubunifu wa wazo la biashara na bidhaa, sasa ujasiriamali sio dhana ya wale akina mama wanaotengeneza zile sabuni nyeusi nyeusi za vipande bali ujasiriamali wa sasa unachukuliwa kama dhana ya vijana waliothubutu kujiajiri na kupewa cheo...
Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
UTANGULIZI
Ili taifa lolote liendelee, suala la Ulinzi na Usalama ni moja ya jambo nyeti na muhimu sana , kwani limebeba dhana ya kimaendeleo kwa kuwalinda wananchi na mali zao pamoja na kudumisha Amani na utulivu katika jamii. Jukumu hili ni la Jeshi la polisi ndio hasa chombo kinachowajibika...
TANZANIA TUITAKAYO : ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI IWE LAZIMA KISHERIA KWA VIJANA WOTE WANAOSHINDWA KUENDELEA ELIMU YA JUU.
UTANGULIZI.
Awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, niwapongeze sana jukwaa la JAMII FORUMS, kwa kuanda shindano hili la kibunifu zaidi na lenye...
Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri.
Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu , Finland, alikuwa amewasiliti dakika za mwisho wakiwa wamemsaidia kupambana na URUSI, baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.