Recent content by Wapekee

  1. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    Nimependa comment yako mkuu, wakichanganyana tu itaonekana wengine wanaogopa kiingereza nadhani wawe na msimamo mmoja
  2. W

    JamiiForums Tanzania Type of Men/Husbands And Their Characters

    Nasali nipate mwanaume mwenye msimamo na pendo lake, aweze kusimama imara na kutetea pendo lake hata kama unatokea mtihani mkubwa wa aina gani katika penzi, mwenye uelewa na huruma juu ya hisia za mwenza wake, hizo characters nyingine zaweza kuwa imaginary, in reality sifa zingine zinakuwa za...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wasichana wananipenda kupita kiasi

    sioni ponit...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wema vs Lulu

    Napita tu........
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wema, diamond... Hakuna ndoa

    Kwani tatizo nini jamani?imekuwaje mpaka wametibuana?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Diamond na Pete ya uchumba kwa Wema

    Kila shetani na mbuyu wake mwaya!go head and prove them wrong...you will make a nice family!me i loved ur deep kisses cku ya bthday, aisee raha ya mapenz kujiachia, acheni wanafki wachonge na waombeeni maisha marefu waone success zenu na ndoa yenu, all the best wema and diamond!i love to see...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wasafi jamani!

    Basi sisi wapanda daladala ndo tunakoma!kuna madume inanuka vibaya!jana nilikuwa kwenye daladala, mwe!nusu nizimie, mtu anatema harufu kama guruwe!tukafungua madirisha yote lakini wapi!ful ku suffocate!!wanaume wenye tabia ya uchafu muache jamani!hv hata mwana mke atakukiss vipi kama hali...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wasafi jamani!

    Basi sisi wapanda daladala ndo tunakoma!kuna modume inanuka vibaya!jana nilikuwa kwenye daladala ya mwenge chuo, mwe!nusu nizimie, mtu anatema harufu kama guruwe!tukafungua madirisha yote lakini wapi!ful ku suffocate!!wanaume wenye tabia ya uchafu muache jamani!hv hata mwana mke atakukiss vipi...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao

    Fb, fb, fb!imejaa umbea tu..its a stupid world, i dont like it..
  10. W

    JamiiForums Tanzania Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

    Wote wale wale, ngoma dro lol!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Demu anapenda sex phone

    Kama yupo mbali nawe it sounds better kama mpo jiji moja halaf ndo hivyo mh kuna walakini..
  12. W

    JamiiForums Tanzania When a woman love.....

    I hate pretenders like you!!!be real!if u dont love her then let her go, wewe unatamaa na zawadi zake na jinsi anavyo ku handle, waache wanaostahili wapewe penzi, u are not real!!i dont like you pretender, i can be in her shoes..its very bad to play with other people's feelings..be honest...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Crisis kubwa inakuja

    Kwakweli hali mbaya, hii mada imenigusa sana..wasomi wengi wanakuwa hopeless...hata hiyo elimu inakuwa haina maana kama mtu anavyeti kibao halafiu vinakuwa kama mapambo, inasikitisha sana, hebu tusaidiane kukabiliana na hili jambo maana hali mbaya sana..
  14. W

    JamiiForums Tanzania Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

    Ni kupasuana vichwa bure, hata vyama vibadilike mara saba sabini, ije chadema, chademana, cuf, cufuana, ibaki ccm au ccmua watu kula kupo palepale, watu wanaongea tu..hakuna mtu asiyeingia kwenye system akaacha kula yeye kwanza, mimi naona wengine humu 'ndo wale wale tu" hakuna mtu kila kukicha...
Back
Top Bottom