Recent content by wapalepale

  1. wapalepale

    Ni mwanaJF yupi ungependa umuone ana kwa ana na kwanini?

    Kwa upande wangu Napenda nikutane na Rubii
  2. wapalepale

    Hivi hawa wana lengo zuri na mimi?

    Pole sana mkuu huyo shangazi yake anaonekana hamnazo! Mpe ukweli kuwa tabia hiyo haifai.. lakini pia je huyo binti wazazi wake bado wapo hai? Kama wapo ikibidi waeleze tatizo la huyo shangazi anayemuhifadhi mke wa mtu bila kuhoji kwa kina.
  3. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wakubwa wa siku hizi wanafanya mambo ya kitoto sana
  4. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sisomi ila natazama picha tu
  5. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hizo sasa mbwembwe! Kila kitu mnawaza dola tu????
  6. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Idadi ya michango kwenye huu uzi imefikia page 535!!!!
  7. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wewe acha kunichekesha!
  8. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hii thread inaelekea mwisho sasa!
  9. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nipewe kilicho bora zaidi!!!!
  10. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Vitambi noma jaman
  11. wapalepale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wapi nitapata mayai ya kwale??
  12. wapalepale

    Vibali vya ushamisho TAMISEMI

    Abinery hakuna mkuu
  13. wapalepale

    Vibali vya ushamisho TAMISEMI

    mwambunnyara, Dah! mkuu pole sana me nahisi unakosea kitu kimoja; haukutakiwa kuwaona hao jamaa maana ukishajuana nae na ukimkatalia kutoa hela inakuwa rahisi kulipiza kisasi kwa vile anakujua. Mimi nimesha washughulikia uhamisho watu wawili bila kuwaona hao wa tamisemi, cha muhimu upata...
  14. wapalepale

    Vibali vya ushamisho TAMISEMI

    Mmm geniveros usifike huko mkuu
Back
Top Bottom