Inawezekana una mapungufu akilini mwako. Kama umeshindwa kufanya maamuzi wewe mwenyewe muulize mkeo.
Unawezaje kuuliza wanaume wenzako ujinga kama huo. Hapa tunajadili mustakabali wa nchi na siyo upumbavu kama huo wako.
Stanibic haiwezi kuwataja kwa sababu wahusika ni vigogo. Tusitegemee kuna siku tutawajua kama CCM itaendelea kuwa madarakani. Kwa gharama zozote majina hayo yataendelea kufichwa kwa sababu waliopewa hizo fedha ni wakubwa wa nchi hii.. Na nadhani hata transactions za kutoa hizo fedha...
big up. Hicho unachosema ni kweli 100%. Ila unawezakuwa ni mpango wa ccm. Labda swali ni kwamba, ccm wamepanga kuchakachua vipi ili washinde kula ya maoni na uchaguzi ujao kwa mfumo huo wa bvr ambazo haziandikishi wananchi wote
Hotuba yako ni nzuri japo imejaa huzuni na nia thabiti ya kuendelea kubaki CHADEMA kama ungepewa fursa hiyo. Umechelewa sana sasa. kama ulitamani kuendelea kubaki CHADEMA ungetafuta suruhu nje ya Mahakama. Naamini utajiunga na chama kingine, nakushauri acha uroho wa madaraka. Soma alama za...
Upo ushahidi wa kutosha kwamba mwaka 2010 Dr Slaa alishinda Uraisi akachakachuliwa. Kuna uhakika 100% mwaka huu Dr Slaa atashinda uraisi maana CCM hakuna mtu wa kupambana naye kama yupo atajwe tumjue. Kwa hiyo ni ukweli usiopingika kwamba Dr Slaa anakubalika nchi nzima.
Huo ni ukweli usiopingika. Naomba walio na matokeo watupe idadi ya kura za CCM na za Ukawa/Chadema ukiacha sehemu ambazo CCM wamejipitisha bila kupingwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.