Recent content by wankyomimi

  1. wankyomimi

    Rais Magufuli: Tutanunua Korosho kwa Tsh.3,300/=, JWTZ ihakikishe kila ghala linalindwa na Wakulima wanalipwa haraka bila usumbufu

    asilimia kubwa humu wanajifanya ni wakosoaji wakuu wa mh raisi....na hii inanipa picha kuwa umasikini wetu uko akilini mwetu...watanzania wengi hatujui hata kutambua raisi bora...tunakuwa kama watoto wadogo kwamba mzazi mpole ndo mzazi mzuri..lakini mzazi akiwa mkali basi ndo hafai...hata kama...
  2. wankyomimi

    Udahili elimu ya juu unahitaji tathmini ya wazi

    yaani kiufupi wamemnyima haki yake....pia naona uende ukaripoti tcu naamini watakusaidia..yaani mh ndalichako akisikia hiyo ishu..atafukuza wahusika wote...kwa maana huo ni utapeli.
  3. wankyomimi

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    ndugu TIFYANAGI MAGUNYETA KISAMBUNYE......
  4. wankyomimi

    Udahili elimu ya juu unahitaji tathmini ya wazi

    ndugu huo utaratibu wa kuconfirm haupo tenaaaa...wanasema unaenda mahala unapotaka...je mkopo pia wataupeleka wanapopataka?
  5. wankyomimi

    Udahili elimu ya juu unahitaji tathmini ya wazi

    unajua huu mfumo unafanya hadi sisi wa education ambao tumepata multiple selection tusipate mkopo...yaani code wamechelewesha halafu bila kujali bodi ya mikopo ikawapa wale waliopata single selection matokeo yake wale wa priority courses waliochaguliwa multiple wanakosa mkopo kwa kukosa...
  6. wankyomimi

    TCRA Kumpandisha Wema Sepetu Kizimbani

    wema ana ugonjwa wa kutafuta attention za watu....anapenda sana jinsi mimi na wewe tunavyoacha kazi zetu na kuanza kutype jina lake...ndo furaha yake hiyo...mbona wadada wanaojiheshimu kama lady jay dee hawana mambo hayo? na wanaishi vizuri...yani watoto wa kike wengi wamezidi kuharibikiwa...
  7. wankyomimi

    DAR: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi kituo cha Oysterbay, ahojiwa na kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi

    amesema polisi wameua watu 100...kumbe waliokufa ni wawili...je ni kweli ana uhakika na ayafanyayo? nisaidie mkuu...
  8. wankyomimi

    DAR: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi kituo cha Oysterbay, ahojiwa na kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi

    huenda zitto anatafuta kiki za kisiasa....kwa maana niliona hata kwenye swala la mo alijifanya mjuaji na mkosoaji mkuu,,,naona kama siasa alizozizoea zinafeli kwenye awamu hii ya tano....maana hoja zake si za msingi...ni kubwabwaja tu!...namshauri ahakikishe kila anachokiongea kisije kikamgeukia...
  9. wankyomimi

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    alitekwa na wazungu wenye rafudhi ya ki south africa....me ndo nimeelewa hivyo...
  10. wankyomimi

    Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    nadhani walitaka hela...na wamepewa hela na ndio maana wameuachia akiwa mzima...isingekuwa hivyo nadhani tusingekuwa naye leo.
  11. wankyomimi

    Familia ya Mohammed Dewji yatenga Bilioni Moja kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Mo

    ATAKAYEPEWA OPERATION YA KUMSAKA M.O NINGEPENDA KWANZA APEWE KAZI YA KUTAFUTA SHILINGI HAMSINI ITAKAYOKUWA IMEFICHWA KWENYE NYUMBA...NA ASITOE KITU HATA KIMOJA KUKIPELEKA NJE YA NYUMBA KWA MAANA WAKATI ANAMSAKA MO HATOWEZA KUWATOA WANANCHI WA TZ NA KUWAPELEKA NCHI JIRANI......NI MTAZAMO TU
  12. wankyomimi

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    watoto wadogo hawataki tena kuwa tajiri kama M.O wanaogopa kutekwa....huu utekaji umeathiri ndoto za watoto.
  13. wankyomimi

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    hivi mtu akiamua kuficha shilingi ndani ya nyumba akakwambia uitafute....unadhani ni kazi rahisi kuipata???....we need minds...kwenye hili swala la M.O...tunahitaji watu wenye akili za hali ya juu...na tukifanya mchezo tunaweza tusimpate na ikabakii historia...!...kuomba msaada kwenye nchi...
  14. wankyomimi

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    mkuu kushinda magoli mengi kwa kichwa ni sifa nzuri pia kwa mshambuliji lakini mbona wewe unaifanya iwe ni sifa mbaya tena?....nisaidie mkuu ulitaka aweje?
  15. wankyomimi

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    kazi yake ni kufunga....kwan wewe ulitaka kiwango gani mkuu?...achambue watu kama messi au? au awe anapiga vibaiskeli?.....mchezaj mzur hapimwi kwa baskeli....tunaangalia uwezo wake wa kufunga....maswala ya ladha sio lazima na ni ushamba....magoli ndio yanaweka recodi nzuri ya...
Back
Top Bottom