Recent content by Wankena Zanaki

  1. W

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Citizens' views on media freedoms

    Why to have another research on Twaweza??? Why?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli hakutuma salaam za Krismasi kwa watanzania?

    Hayo ni mapungufu ya kibinadamu na mihemuko mingi.msameeni
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni aibu kujiita Mtanzania - Askofu

    Hakims kitu kibaya kama MTU hana Uhuru wa kifikira na kusema ukweli ,askofu kusema ,sasa anaona maisha ni mazuri kuliko nyuma Kwa mifano ya nauli za ndege ,kuna sababu ya kuendelea kumsikiliza kama kiongozi wa dini.
  4. W

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Si vizuri MTU Kuleta hoja isiyo na mashiko na kuleta mambo bila uthibitisho .Mleta ma da angetaja aina ya pombe anayotumia na najina ya wanawake na wao kuthibitisha Kwa mahojiano kituo cha redio.Huyu bwana ananjaa ! Sina uhakika ni ya nini?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awaasa wakuu wa mikoa na wilaya kutovunja sheria wanapowaadhibu watumishi

    Mhhh sidhani kama wataelewa ,maana na wao wanashida kuliko watumishi.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli adai yeye, Lowassa, na Kikwete, watakufa. Kwanini Lema anateswa kwa kauli kama hiyo?

    Mtandao huu ni was kupashana habari nzuri na kufundisha mambo mbalimbali,wapendwa wachangiaji wanaopenda siasa wananiboa sana,matusi na kejeri acheni kabisa .
  7. W

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Ungemshambulia huenda angemtema rafiki yako.jifunze ujasiri kama Mimi mkurya original ningemkatakata hako ka chatu.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Vigogo wa Serikali yafyekwa

    OK,lakini ni kisheria au!!!??
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

    Mpeni ushauri mzuri .Mimi nadhani afanye mazoezi ya mwili na kupunguza vyakula vya protin
Back
Top Bottom