Rais Magufuli adai yeye, Lowassa, na Kikwete, watakufa. Kwanini Lema anateswa kwa kauli kama hiyo?

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
Fungua video niliyoambatanisha hapo chini kaunzia dakika 4.17 utamuona Rais akitabiri kifo chake, cha Kikwete na hata Lowassa.

Sasa kama Rais anatabiri vifo vya wenzake kwanini yeye anapotabiriwa kifo inaleta shida?

Je, huo ni uungwana?

 
Yeye hajaribiwi wala haguswi, hahojiwi wala hakosolewi..
[HASHTAG]#mwanangukunywamaji[/HASHTAG] hii ndo Tanzania
 
Mtandao huu ni was kupashana habari nzuri na kufundisha mambo mbalimbali,wapendwa wachangiaji wanaopenda siasa wananiboa sana,matusi na kejeri acheni kabisa .
 
..kaazi kweli.

..yaani yeye atabiri vifo vya wenzake.

..wengine wakifanya kama alivyofanya yeye wanaishi kwenye matatizo.

..kweli, MWENYE NGUVU MPISHE.

cc Nguruvi3, mjengwa
Mkuu kuna mengine hata kusema yanaogopesha
Halafu wanafamilia wanatakiwa wasimruhusu shetani.
Kunyima haki kupo kundi gani?
 
Ndio ni uungwana unafanya mchezo na mamlaka ya u mungu aliyonayo huku msaafu wa katiba ukimpa backup mujarabu kabisa
 
Back
Top Bottom