Recent content by Wanjax jr

  1. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watafutaji wenzangu mpo
  2. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jobless Tusipoteze TUMAINI katika kutafuta ajira aisee ,, ikitokea nafasi umeitwa nenda kapige usahili,, ndipo unajenga experience mbalimbali Amini kwamba siku yako ipo njiani ,kikubwa kumtanguliza Mungu kweny harakt zetu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Keep praying keep trying one day ..door will be open for u [emoji120] Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  4. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naomba kuuliza hivi mtu akiajiliwa ni muda gaani loan board wanaanza kumkata mtumishi Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wadau naomba kuuliza hivi kama MTU ameitwa usahili wa afisa ushirika ,, apitie wapi wapi pakusoma Maana kasoma BANKING n FINANCE ,,,au aliye wahi kufanya usahili huu wa afisa ushirika,, written qns kama unazo tupia ziwasaidie kweny kujiandaa ...jamaa angu anaomba msaada kweny tuta
  6. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kila mtu anapenda sehem ,nzuri lkn kikubwa mshukuru Mungu kwa sehem ulioipata ,,kikubwa kumtanguliza Mungu kweny Kila kitu kweny safari hii ya maisha ,,,Mungu ndio anajua kesho yako itakuaje uko mbeleni Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mie nilishtuka sana hiii kauli ya watu wa kujitolea inakaziwa ,,mbali na hapo taasisi za kiserikali zijiendeshe zenyewe,,,, yaaani hizi kauli kwa watoto masikini ni kama kuwafukuza na kuwabakizia nafasi za LGAs ila nafasi nzuri nzuri wanaenda kwa kujuana ....Wanasiasa Wanatafuta sehem,wakipiga...
  8. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio poa ,,,money bring confidence,, jobless bring coword... Yaaani unapita mule mule boi[emoji23][emoji23] Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  9. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yaani acha tu ....tuanze kufikiria Subaru Sasa wizy [emoji41][emoji41] Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wale wadau wa status kweny WEB : SELECTED FOR ORAL kweny APP : SELECTED FOR ORAL.... Tuendelee kupambana na kumweka Mungu mbele ndio anaeijua kesho yetu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  11. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS, [emoji120][emoji120] Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwan we kada gaani ?? Maana MDA & LGA wanaendelea kutoa KULINGANA nakada husika na kwa mafungu fungu ,,, wengine nazani wanaweza kuwa Bado hawajahitwa kabisa
  13. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sio poa yaaani wote waajiliwa wa serikali lkn mishahara tofauti tofauti
  14. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Rrtt
  15. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wrd
Back
Top Bottom