Recent content by Wangwambo

  1. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV kwa bei za store

    inch 50 samsung unayo? Unauzaje?
  2. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa UDOM adai Bodi ya Mikopo inamlipisha deni la chuo ambacho hajawahi kusoma

    Upo mkoa gani? Ulishafungua account heslb kuangalia taarifa ya makato?
  3. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Nichek kesho nitakusaidia
  4. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Mimi nimekamilisha lakini kila nikisubmit form no2 na 5 cha ajabu wananiambia incomplete wakati kila kipengele nimejaza vizuri
  5. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Hivi Bodi ya Mikopo (HESLB) imekosa Wataalamu wa IT?

    Applicant`s guarantor information inagoma ku submit taarifa zilizijazwa. Ina load tu
  6. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Premio old model

    😂😂😂
  7. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Premio old model

    Anayeuza premio old model tutafutane,
  8. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

    Kwa hali hii Malawi kutoboa ngumu.
  9. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania NHIF mje na mfumo mpya

    Kumekuwa na taarifa zikiripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ya kwamba mfuko wa bima ya afya kukumbwa na changamoto mbalimbali za ukwasi, na hii inadhihirishwa na NHIF wenyewe walivyokuja na mwongozo kwa wanufaika wa idadi ya siku za kwenda kupata matibabu kwa mwezi na baada ya siku chache...
  10. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

    Kwenye hili suala la Bima ya Afya serikali ije na mfumo ambao mgonjwa akishapata matibabu hasa hawa wagonjwa wa OPD zile sms zinazotumwa kwenye simu zioneshe na mchanganuo/ gharama ya matibabu ya ugonjwa husika, hizi hospitali binafsi wamekuwa wagumu sana kujaza gharama kwenye zile sheet
  11. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Bank ya NMB naombeni ufafanuzi kuhusu makato haya

    Mi nimekuta nimeona kunaongezeko la 4,000/= then nikaangalia statement ikawa inasomeka government levy
  12. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania HESLB naomba mwenye uelewa na hii changamoto

    Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
  13. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku upload kitambulisho cha NIDA HESLB

    Shukrani Mkuu imekubali
  14. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku upload kitambulisho cha NIDA HESLB

    Habari wadau, Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
Back
Top Bottom