Recent content by WANGAMBA

  1. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania MWENYE SPECIAL NUMBER YA SIMU TUWASILIANE

    Ninazo 2 za air tel bado hazisajiliwa 0681 500008 na 0681 500 400
  2. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kukua kibiashara kwa utaratibu huu wa TRA?

    Biashara ya urembo
  3. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kukua kibiashara kwa utaratibu huu wa TRA?

    Jamani kwa utaratibu wa TRA unafanya kazi zake mnawezaje kukua kibiashara mbona wafanya biashara wengi tukijaribu kufanya biashara tra ndo ya kwanza kuwarudisha nyuma. Makadiria makubwa fine za mara kwa mara mtu hauko hata VAT unaambiwa ulete hesabu za 2020 na hii ni 2024 list wiki mbili tu...
  4. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora kuwekeza Mil 50? UTT AMIS au kujenga nyumba?

    Nimeandika toleo hile lengo tutanuane kimawazo 1.UTT AMIS ni mfuko wa uwekezaji ambao unapata gawio la kila mwezi makadirio 400,000/= mfuko wa bondfund -hakuna chochote cha kusimamia wala malalamiko ya kutatua kama migogoro ya wapangaji 2.NYUMBA ni uwekezaji mzuri sana kama ukipata sehemu...
  5. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Habari mkuu naona umeiongelea utt kama unashaka nao naomba na mimi unisanue mapema
  6. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Napata faida ghafi kwa siku 400,000=lakini mtaji hauongezeki

    Boss iyo ni faida kubwa sana kwenye biashara kama utaweza fungua account ya fixed au UTT uwe unaweka nusu ya faida yako angalau mwisho wa mwaka ukiisha utafunga hesabu mtaji uko pale pale ila kwenye account ya faida kuna mzigo upo Anagalizo kuna baadhi ya biashara na mikoa baadhi ukifanya...
  7. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu TRA wanatuumiza

    Nilijikadilia mwenyewe 52000 kwa mwaka na ikapitishwa hii nashangaa
  8. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu TRA wanatuumiza

    Wadau wenzangu ninatatizo limekuta mwenye uelewa naomba anisadie nina duka lipo mjini mwanza linafanya biashara ya rejareja, Juzi nimepigiwa simu TRA mwanza kwamba ninadaiwa kodi nikaombwa nitumiwe contor namba maana huwa sepindi vipengere na selikari makodilio niliofanya mwenyewe 03/03/2023...
  9. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    Ndio inawezeka hasa crdb ndio niliwahi kwenda
  10. WANGAMBA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Kwa upande wangu mimi naona wewe ndio tatizo huwez kwenda kwenye mkoa mwingine bila kuja taratibu zao hasa kama waha kwa ufahamu wangu mimi na hili ni kabila langu wewe kwenda ukwen kijipatanishia mahari ya mkeo ni kosa na dharau kwa ile kwamba unaona wote ni watoto na sidhani kama kuna mkoa...
  11. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

    Sasa unaendaje? Kukodi shamba usiloweza kulilima
  12. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    Hongera sana mkuu
  13. WANGAMBA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

    Kuna kitu nahitaji kujufunza kutoka kwako sijui utaweza kunisaidia maana mimi ni muhanga
  14. WANGAMBA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?

    Sasa angekuambia ungekubali?
  15. WANGAMBA

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua taratibu za kuwa Dalali wa Mahakama

    Hii kazi ya laana sana kwenda kuitoa familia ya mtu ndani bila huruma ili wewe upate ridhiki machozi ya mama baba mtu mzima anakulilia kama mtoto ni hatari mkuu tafuta wazo jingine sio apo ulipo hawajiliona hilo
Back
Top Bottom