Recent content by wanandoto

  1. wanandoto

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    pia kwa kuagiza kwa kutumia al express ni supplies gani mzuri mwaminifu na ni njia gani nzuri ya kuisafirisha na itachukua muda gani mpaka kufika hapa, 🙏
  2. wanandoto

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    shukrani kwa bajeti ya kuanzia laki3-mpaka4 hapo naweza kupata aina gani
  3. wanandoto

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    Kuna tofauti gani kati ya hizi simu za redmi na xiaomi, na ipi ni nzuri
  4. wanandoto

    Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

    Hakika mkuu viongozi wetu bado ni changamoto sana Aisee
  5. wanandoto

    Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

    tatizo ni utaratibu mbovu wa nchi yetu kuhusu kusafirisha mazao, upatikanaji na vibali bado ni tatizo
  6. wanandoto

    Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

    mawakala wapo kazini mpaka sasa sijapokea chochote
  7. wanandoto

    Vijana chukueni mchongo wa soya

    Hii imekaa poa sana samahani mkuu unaweza share kidogo jinsi ya kuyafikia hayo masoko ya nje hasa usafiri na vipari vyake
  8. wanandoto

    Biashara ya mchele

    n nimekupata mkuu mafuta ya aina gani
  9. wanandoto

    Biashara ya mchele

    hii ipoje mkuu fafanua kidogo
  10. wanandoto

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting imenifirisi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. wanandoto

    Prof Issa Shivji: Kwanini tunasherehekea uhuru kwa vitisho vya majeshi badala ya matukio yaliyobeba ujumbe wa amani na umoja wetu?

    Mbona hicho kitu kimeanza miaka mingi alkuwa wapi miaka ya nyuma kuhoji au ndio ameziona mwaka huu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom