No offense but najaribugi kuwaza ni kwamba unapoandika mambo kama aya ni raigbait ama ni kweli unamaanisha, na kwamba waafrika ndo huwa hatuna akili kiasi ichi ?.
Ninyi pamoja na wengine kama wewe huwa mnanipa sana maswali maana ata nikiwa mjinga sidhani nitawai kuwa extreme kiasi ichi ama...
Umeelezea vita kwa mrengo wa siasa na kipropaganda ila vita ya israel na waarabu hawa ni survival ( ambapo israel anafanyanya any means kusurvive ikibidi ata kueliminate maadui zake ambao wamemzunguka kila sehemu). Hii ndo natives wengi wanasema ivo ukiingia kweny sub zao (reddit).
Palestina haijanyang'anywa ardhi yao, ishu ilikuwa ni kipindi cha ukoloni kabla ya wayahudi kwenda kuna mabadiliko yalifanywa na waingereza kuhusu umiliki wa ardhi ambapo kila mmoja alipaswa kujisajili kwenye ardhi, ila wengi wa wapelestina hawakufanya ivo maana hawakuwa wakijua umuhimu wake...
Maisha aliyoamua kuishi sidhani mwanachuo kuwa slayqueen kunamdhuru mtu yoyote, kwaiyo yeye kuwa slayqueen ama kuringa ndo justification ya yeye kubakwa ama kuwa sexual harrased??
Dunia inakuadhibu kulingana na makosa yako, sisi hatupo responsible kwa makosa ya mwingne maana pia sisi tutaadhibiwa kwa makosa yetu ivyo tusinyooshewe vidole kabisa.
Wa kulaumiwa sio washambazaji wengine na kumuona mdada uyo na mtu wa kwanza either boyfriend wake alopost kwamba ndo victim na hawastahili lawama ,hao ndo watu wa kuwalaumu ila ilishafika public huwezi kunilaumu mimi kuisambaza.
Ni kweli kabisa ila mbaya zaidi mtu ambaye unaona kabisa hawezi fanya kitendo kama icho ndo mara nyingi wanakudissapoint. Anyway mimi binafsi siwezi sambaza video ya mtu ya utupu ata kama kanikosea nini ila iyo inayosambaa mitandaon huwa sio kazi ngumu na ww kushare na mtu wako wa karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.