Recent content by WAMURUBHERE

  1. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

    Mara ya mwisho alikuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga miaka ya 1998-2002
  2. W

    JamiiForums Tanzania Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    *MKUU WA MKOA WA ARUSHA Mrisho Gambo AMBAYE NI MTEULE WA RAISI AZUIA MBUNGE LEMA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA ENEO LA UJENZI WA HOSPITALI YA MAMA NA WATOTO JIJINI ARUSHA* Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mrisho Gambo azuia Mbunge Godbless Lema kuweka jiwe lamsingi katika eneo litakalojengwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania haimo kati ya Majeshi Imara zaidi kati ya Nchi 7 Afrika-Kenya Yatupiku

    cjajua mtoa mada kazingatia wingi wa zana za kijeshi ama nini. nimefanikiwa kukaa darfur ulinzi wa aman miaka miwili,hakuna jeshi la hovyo kama la nigeria,walikuwa wakivamiwa mara kwa mara na waasi wa sudan na wananyang-anywa silaha. Tanzania tunaheshimiwa na kuogopwa sana hata wale askari wetu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nasari ipigiwa saluti (picha)

    hiyo ni haki ya mbunge jaman someni hii kidogo ambayo ni amari ya kudumu ya jeshi la polisi (POLICE GENERAL ORDER NO 102) <!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:TrackMoves/> <w:TrackFormatting/> <w:PunctuationKerning/>...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Police Wilaya Kasulu mkoani Kigoma Kudhoofisha CHADEMA waiva.

    Ni kweli huyo mama alifariki na mumewe amekatwa na mapanga na yeye kafariki kwa imani za kishirikina! Mtoa mada amekiri mwenyewe kuwa taarifa kapewa na mwenyekiti wa chadema kijiji cha kwaga,its just hearsay evidence which is inadmissible before court of law!Tumekuwa kila siku tukiwalaumu police...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kasulu: Hatimaye askari polisi waliouwa wafikishwa mahakamani

    Askari polisi wawili koplo peter na konstebo sunday simon wamefikishwa mahakama ya wilaya ya kasulu na kusomewa mashitka yao ya mauaji. Hii imefuatia leo baada ya kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP Fresser Kashai kuwafukuza kazi askari hao. Mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

    hapa si bure kutakuwa kuna m2 nyuma yao
  8. W

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    ni kati ya makamanda wa polisi waliokuwa na uelewa mkubwa ya mambo mengi! RIP KAMANDA LIBERATUS BARLOW LYIMO!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hatima ya OCD Zuberi Mwombeki wa Arusha

    hajapanda cheo ila amepandishwa madaraka amekuwa afisa mnadhimu wa mkoa wa arusha yaan staff officer,si kwamba ndiye msemaji wa polisi kimkoa,msemaji ni KAMANDA WA POLISI MKOA
  10. W

    JamiiForums Tanzania Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni?

    anastaafu june 30 2013
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    maumivu ya kichwa huanza polepole
  12. W

    JamiiForums Tanzania Makamanda Polisi Mikoa Arusha na Mbeya wateremshwa vyeo

    mwema ana staafu rasmi mwakani na amesema hataki kuongeza mkataba kwani mara nyingi huwa ma IGP wana staafu pamoja na rais,ili rais ajaye aje na safu yake mpya ya uongozi,hataki kuongeza hata sekunde moja! Naona anakimbia mziki wa 2015!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuballance kesi, chadema tujiandae kwa hili'

    mkatae msikatae,mtukane msitukane kesho mahanga anashinda kesi,mtanambia
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi is NO MORE

    taya upumsike kamanda
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    akili na matendo ya watu walioko kwenye avator yako sawa na akili zako kabisa
Back
Top Bottom