Recent content by wamkodowenye

  1. wamkodowenye

    Hii kinga ya ukimwi je inawahusu na wale wenye ukimwi?

    Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
  2. wamkodowenye

    Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

    Mkuu mbona deception alishakufa kitambo alikua ameadhirika na ngoma ni mwaka unaisha sasa
  3. wamkodowenye

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Bia ukinywa mbili tatu hazina shida mradi usiwe mlevi sana ukasahau muda wa dawa pia kwenye side efect kila kitu kina madhara hata vyakula pia unaweza ukawa hutumii hizo arvs ukawa mlaji mbovu wa mavyakula na unywaji pombe kali kali pia ukapata ugonjwa wa moyo ,na figo kufel pia kuna ambao...
  4. wamkodowenye

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Upo vizur mkuu na utaishi maika mingi kwanza umeanza dozi ukiwa cd4 hazijashuka tofauti na hawa waoga kupima alafu cd4 zinashuka mpaka 100 yupo hoi kitandani tb ishamtandika,kashadhohofuu sasa hapa akiambiwa ana ngoma kwa mawazo anadhohofika zaidi,na kukata tamaa hapa mpaka cd4 zipande si mchezo...
  5. wamkodowenye

    Nipo kwenye penzi na dada mtu ila mdogo wake kanipenda zaidi

    Natumaini mu wazima humu, Nilianza mapenzi na dada mmoja nikiwa kikazi mkoani Dodoma, kiukweli huyu dada tulipendana sana alikua kichaa wa mapenzi kwa jinsi tulivyopendana alikua hasikii wala kushikika, kila siku alitoroka kwao na kuja kulala kwangu nilipagawisha zaidi baada ya kumpa penzi hii...
  6. wamkodowenye

    Mkoa wa Njombe umetajwa kuongoza kuwa na asilimia 11.4 ya watu wanaishi na virusi vya UKIMWI

    Ukizungumzia mitungi hakuna wanaokunywa tungi kama moshi na arusha na kwa baridi moshi arusha ipo ya kufa mkuu sema hawajui kukataa alafu.magomvi mengi sana hawatahiriwi hawa viumbe
  7. wamkodowenye

    TAKUKURU kuchunguza mila za Kichaga

    Hii taasusi imewekwa mfukoni b
  8. wamkodowenye

    Hawa vijana waosha kucha na miguu wanawake hivi wamekosa kazi nyingine za kufanya?

    Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu. Mimi siku nikimkuta muosha miguu au mpaka rangi kucha kwangu namtoa na mbata ya kufa mtu ukipita mitaa ya...
  9. wamkodowenye

    Lodge nzuri Mbeya Mjini

    Mkuu acha woga unasikilizia ela sana
  10. wamkodowenye

    Wanaoshangaa Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja nyuma ya pazia wanatamani wangekuwa wao

    Unataka kumpindua uwoya baada ya kusikia ana dudyu kubwa?
Back
Top Bottom