Recent content by wamkaya

  1. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Hilo la kuzaa linafahamika na alizaa kabla hata hajaingia kwenye huduma kisa uaskofu mkuu ndio huyo mnyakyusa akaamua kutumia kick ya kuzaa(uzinzi)ili kumchafua .Huyo mnyakyusa hakuna kiongozi wizara ya mambo ya ndani ya nchi kitengo cha usajili wa madhehebu ambaye hajala hela zake amehonga sana...
  2. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Huyo Mnyakyusa askofu mkuu kahonga pesa nyingi sana ofisi ya msajili wa madhehebu ya dini fuatilia kwa nn yule mama msajili alisimamishwa?sababu ni rushwa alizopewa na huyo mnyakyusa mikono yake imejaa rushwa tupu
  3. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Huyo askofu mnayemsema ni mskuma alizaa nje ya ndoa zamani sana hata kabla hajaingia kanisani kwenye utumishi sema Dr.Brown Mwakipesile kamwaga pesa ili kumchafua huyo msukuma kwa vile ni threat kwake kwa kifupi mikono ya Mwakipesile inanuka na imejaa rushwa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

    Hahaaaaa sisi tutampokea tu na ufisadi wake hata kama alipandisha twiga kwenye ndege sisi tutampokea tu tunasabuni ya kusafisha mafisadi
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Chama kile zoazoa kami kwenu kuzoa na hii
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    Wajanja wa madaraka walk up kind nani
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na yaliyomkuta Lissu; ni agenda ipi itaibeba Upinzani Katika Chaguzi zijazo??

    Wema sepetu nayo agenda
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Serikali ya Tanzania kuchukiwa na idadi kubwa ya vijana wake. Tatizo la msingi ni nini?

    Vijana wengi? Hiyo research umeifanyia wp ukajua ni wengi? Yani wavuta bange wa Bavicha ndo unaweza kusema vijana wengi wa tanzania?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe amteua Albert Msando kuwa Mjumbe wa kamati ya kupitia sheria ya hakimiliki

    Huyu albert Msando ndo alive if eroding akichezea MBUNYE ya Gigy money?
  10. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Mmomonyoko Maadili

    Saccos
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge Peter Msigwa awataja waliohusika kununua Madiwani Iringa, vilitumika vifaa vya Australia

    Kwa hiyo nadiwani wa Chadema wananunulika?
Back
Top Bottom