Ukiachana na yaliyomkuta Lissu; ni agenda ipi itaibeba Upinzani Katika Chaguzi zijazo??

Bila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.

Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.

Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
Unajidanganya. Sakata la Lissu kutukanana na serkali; hadi kukamatwa kwa bombadier; na sakata la Acacia; ndiyo mambo yatakayozugumzwa. Majambazi wa Sitakisheri, Nzega, Tundulisu na Kibiti hatatasikika sana kwa kuwa ni ya kipolisi, mspolisi hawapigiwi kura wala kuomba ubunge.
 
Bila Shaka Lisu atatawala vinywa vya wagombea wote Katika majukwaa ya kisiasa Katika Chaguzi zote zitakazofuata hasa hasa kwa wanasiasa toka vyama vya upinzani.

Wanasiasa toka vyama vya Upinzani hawataepuka kumfanya lisu kama agenda Yao kuu; kila jambo litalazimishwa kumezwa na hoja yake.

Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.

UTUMWA ndani ya nchi yetu wenyewe hatutaki
 
Sasa kwakua tumeshajua angalau nini tutegemee kusikia toka kwa wanasiasa wa upinzani sio vibaya kujua ni agenda ipi imebakia kwa upinzani kusimama nayo Hiyo ni baada ya kila agenda kufunikwa kwa utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano.
Bunge live!Aina ya wapinzani wetu hawapatikani popote pale duniani
Kuna zwazwa humu limependekeza suala la RC Makonda iwe kete ya kuiondoa ccm madarakani!
 
Back
Top Bottom