Recent content by Wamisosi

  1. Wamisosi

    Samsung cover photos bwana

    Fikiria kampuni kubwa ya simu samsung cover photo yake imeandikwa Kilimanjaro Kenya
  2. Wamisosi

    Samsung cover photos bwana

    Fungua picha isome mkuu
  3. Wamisosi

    Samsung cover photos bwana

    Hali bado tete.
  4. Wamisosi

    Wasiolipa kodi ya pango la ardhi wapewa siku 30

    Mkuu fafanua kidogo hapa huo utaratibu wa kulipa kupitia control namba kuna namna unaweza kulipia online
  5. Wamisosi

    Wasiolipa kodi ya pango la ardhi wapewa siku 30

    Ugumu unaanzia pale unapotakiwa ukapange foleni huko maofisini wafanye namna hata kulipia kwa njia ya mtandao watu wengine wako mbali wengine majukumu yanabana
  6. Wamisosi

    Viwanja vinauzwa Kisemvule

    Hapana mkuu.
  7. Wamisosi

    Viwanja vinauzwa Kisemvule

    Safi mkuu
  8. Wamisosi

    Kozi ya Diploma ya Mineral Processing inatolewa chuo gani?

    Angalia comment no. 8 Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  9. Wamisosi

    Kozi ya Diploma ya Mineral Processing inatolewa chuo gani?

    Chuo cha madini Dodoma Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  10. Wamisosi

    Kama taifa ndio tumefikia huku? Je, shida ni ule waraka au kuna kingine hatukijui nyuma ya pazia?

    Mbona wakati wajiwe waraka zilitoka mara mbili kipindi cha watu kupotea na cha korona alafu mbona walishakwenda ikulu na wakatoa maoni yao na yakapuuzwa ndio hapo kkafikia hatua ya kutoa waraka
  11. Wamisosi

    Nichukue Soundbar au home theatre ya kampuni gani?

    Sony iko vizuri Watts 1000
  12. Wamisosi

    Nichukue Soundbar au home theatre ya kampuni gani?

    Sound bar home theatre zimeanza pitwa na muda
  13. Wamisosi

    Sony home theatre haitoi auti kwa ulinganifu sahihi inasikika base sana

    Habari za muda huu wa JF members, kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu kama kuna mtu anaufahamu wa tatizo hilo au naweza pata wapi sehemu wanaohusika na customer care wa vifaa vya sony kwa hapa dar
  14. Wamisosi

    Kama Wewe Nikijana Na Unandoto Zakutoboa Pita Na Hii...!!!

    Ukiona unaitiwa fursa jua ww ndo fursa
Back
Top Bottom