Asante kwa kunisahihisha. Kumbuka sijatumia kalamu kuandika na pengine ujumbe umeuelewa ndiyo maana umeweza hata kunisahihisha. Nakubali kukosolewa, asante mkuu!
Wakuu amani kwenu! Kama title ilinavyodadavua, Mimi ni kijana wa miaka 28 (me) Nina shahada ya Elimu ya Saikolojia (hons) ya udsm.
Nimewahi kufundisha part time Tabota TTC, Ekernforde Tanga University, na sekondari kadhaa.
Bila kuwachosha naomba niweke wazi lengo la nandiko hili ni kuomba MTU...
Kama title inavyosomeka, katika halmashauri ya Ushetu iliyoko ndani ya Wilaya ya Kahama Wastaafu wa kada mbalimbali wamejikuta wako matatani kwa mtindo ufuatao:
Baada ya kusitafu almost wote waliendelea kuingiziwa mishahara kama kawa. Kutokana na kucheleweshewa Malipo yao ya Pensheni walidhani...
MTIHANI WA URAIA.
Instructions.
1. Jibu maswali yote.
2. Povu haliruhusiwi kwenye chumba cha mtihani.
3. Hisia za aina yoyote hazitakiwi.
SERIKALI YA CCM IMEISHIWA PUMZI???:
Si maneno yangu bali Ni maneno ya aliyekuwa kada nguli wa CCM, mzee Kingunge Ngombare Mwiru aliyoyasema siku alipoamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.