MTIHANI WA URAIA.
Instructions.
1. Jibu maswali yote.
2. Povu haliruhusiwi kwenye chumba cha mtihani.
3. Hisia za aina yoyote hazitakiwi.
SERIKALI YA CCM IMEISHIWA PUMZI???:
Si maneno yangu bali Ni maneno ya aliyekuwa kada nguli wa CCM, mzee Kingunge Ngombare Mwiru aliyoyasema siku alipoamua kukikacha Ccm na kujiunga na Wana mabadiliko mwaka 2015 ni
Mwaka na pointi sasa umepita
Maswali la kutafakari kabla ya kuikaribisha 2017 ni
1. Ni kweli serikali ya jembe na nyundo imekata pumzi?
2. Sifa za serikali iliyokata pumzi ni zipi? Taja kama zipo
............................
3. Hali ya utekelezaji wa ilichoahidi mfano m 50 per kijiji, mushrooming industries, mvua ya ajira etc ukoje?
4. Ukuaji wa demokrasia, uhuru wa habari, maoni na kujieleza ukoje?
5. Tofauti ya kiuchumi kati ya wenye navyo na masikini ikoje? Inapungua inaongezeka? Sema.
6. Hali ya mafisadi ikoje? Wanaishi kama mashetani kama ilivyoahidiwa kweli? Tofautisha hali ya waliositishiwa ajira zao (graduates) na maisha ya waliowahi kutuhumiwa kwa ufisadi mathalani escrow scandal.
Nani anaishi kishetwani zaidi!?
7. Hali ya usalama wa RAIA na Mali zao ikoje?
8. Miikopo vyuoni vipi? Safi?? Kama poa endelea na swali jingine.
9. Nini maoni yako kwa ujumla tunapoelekea kwenye uchumi wa kati?