Recent content by wamburamwita

  1. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere atangaza nia kugombea ubunge Jimbo la Kinondoni!

    Naona wasanii wameona kugombea ubunge nisawa nakugombea tuzo za bongo move
  2. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kuhitimisha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mikoani, A. Kinana jijini Mwanza - June 28, 2015

    Naposema haina jipya ukisikiliza waliotia nia wanaikoso selikali wanasahau kuwa wote walikuwa kwenye mfumo huo kwahiyo huu ulikuwa sio mda wakutoa ahadi walikuwa wanatakiwa kutuonyesha walicho tufanyia ila wote wanalalamika hii inachangiwa na mfumo wao
  3. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kuhitimisha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mikoani, A. Kinana jijini Mwanza - June 28, 2015

    Ccm haina jipya hata kinana anajua ccm haikubali siku hizi huko kanda ya ziwa wasukuma wasiku hizi si wale wa miaka 1985
  4. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mbunge wa Geita anazikwa Kinondoni?

    Wanachi inatakiwa wajifunze kuchagua wabunge
  5. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

    Unajua huyu zitto nikilaza swala alilo mshambulia prof mwandosya nikuto kufikili vizur mbona hakumtaja lowassa ambae ushahidi upo au kwasababu anazamini chama
  6. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Kiseryi Chambiri: Mtazame Lowassa vizuri

    Huyu ni kilaza tarime tulimyima kura kwasaba hajui kujenga hoja bungeni ndiomana bunge hili hajawi kuchangia
  7. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi

    Hichi kipindi kwa sababu ni cha uchaguzi hata mrema akienda atapata watu wakuja kumshanga kwahiyo zitto watu walienda kumshanga
  8. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tunduma ni kama maji

    Msiisahau tarime mjimbo yote mawili yatachukuliwa na chadema hata selikali za mita tumefanya vizuri
  9. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mh Sugu juu ya alichokisema Mbunge Mlata jana bungeni

    Kumbe yeye mwenyewe ndoa imemshinda hawa wabunge wa viti malumu wa ccm kazi yao ni ndio tu hawana lolote
  10. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa muda wa ACT-Wazalendo, Kadawi Limbu, kugombea ubunge kupitia CHADEMA

    Kwasababu nihaki ya kikatiba kila mtu kugombea ila nafasi yake ni ndogo kushinda kwenye kura za maoni kunawatu wameangaika kukijenga chama yeye alikuwa anajenga act
  11. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Seif Sharif Hamad akataliwa kuingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi

    Ccm inajua zanziba mwisho wao ni mwaka huu
  12. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kufanya mikutano mikubwa Masasi na Mtwara Mjini leo

    Ivi act nichama cha upinzani au ni madalali wa ccm au wapiga kampeni wa ccm
  13. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kufanya mikutano mikubwa Masasi na Mtwara Mjini leo

    Tarime unaichukulia poa unazani tarime nikigoma muulize lowassa au kikwete au yusufu makamba au mtikira watakuambi tarime ikoje huyo awezi kukulupuka hovyo kama anaenda kigom
  14. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bajeti kuu ya Serikali imepitishwa kwa Ushindi wa Kishindo wa 83%

    Hao wote mwisho wao ni mwaka huu kuingia bungeni bunge watakuwa wanaliangali kwenye tv
  15. wamburamwita

    JamiiForums Tanzania Kafulila awalipua mawaziri ufisadi mabehewa, alitaka Bunge kuwajibisha wahusika

    Hoyo ndio hazina ya ukawa nahuu ndio mda wa kuimaliza ccm
Back
Top Bottom