Kiseryi Chambiri: Mtazame Lowassa vizuri

Kiseryi Chambiri: Mtazame Lowassa vizuri

Mheshimiwa Lowasa ni safi mara elfu nyingi ukimlinganisha mafisadi wa Escrow! Tatizo kuna watu hawapati picha patakalikaje bongo kama EL ataingia ikulu? Wawe na amani mwenyewe kasema hatalipiza kisasi kwa matusi, kejeli na matope yote ambayo watu wanamtupia!
 
kwasababu ya ukosefu wa uzalendo anaweza kupitishwa lakini ni hatari kwa matumizi ya Watanzania maana mti ni ule ule na matunda ni yale yale kwahiyo hatutakuwa tumepiga hatua yoyote mbele bali nyuma,tuwe makini.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
jacob kajeje.nkoloka jamani sio kweli kilamyaka yote utawala unatokanana CCm.tu temuhii watanzania wote tunamba siraa achukue ikulu bilangamizi kwasababu tanzania wengi tuko nyumayake daimjacob kajeje.nkoloka jamani sio kweli kilamyaka yote utawala unatokanana CCm.tu temuhii watanzania wote tunamba siraa achukue ikulu bilangamizi kwasababu tanzania wengi tuko nyumayake daima
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mheshimiwa Lowasa ni safi mara elfu nyingi ukimlinganisha mafisadi wa Escrow! Tatizo kuna watu hawapati picha patakalikaje bongo kama EL ataingia ikulu? Wawe na amani mwenyewe kasema hatalipiza kisasi kwa matusi, kejeli na matope yote ambayo watu wanamtupia!

Hitler aliingia madarakani kwa vuguvugu na ahadi nyingi hivihivi. Watu waliojaa matumaini waliwahi kuingia na kumtoa mahakamani alikokuwa naashitaka ya uhaini. Alipopata vijana walijuta. Badala ya utajiri walijikuta katika vita na mataifa yote. Mali na maisha ya vijana na wazee yalipotea. Uchumi wa Dunia nzima uliporomoka, Ujerumani ikiathirika zaidi kwa sababu ya tamaa za madaraka iliyokithiri. Hivi bado hatujafunza tu mpaka yaje kututokea. Upendo gani mkubwa hivi aliyonao kiasi kwamba kwa zaidi ya miaka mitano amekuwa akimwaga mahela. Hakuna tajiri wa aina hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Vipi kwanza nimesikia lowassa kuna dawa anapewa kabla ya kuanza kuongea kwenye mikutano yake ili betri isiishe charge.ngoja nitafute ushahidi wa picha niutupie hapa jf.
 
Kila mtu atasema Lake ila ukweli wanajua wahusika na Mungu wao
 
Ninaamini lowasa hawezi kuwa rais wa nchi hii nyerere atafufuka ,na kama ccm watajitia wendawazimu ikulu wanaipisha asubuhi wala wasisumbue wananchi maana wataishia mahakamani
 
hitler aliingia madarakani kwa vuguvugu na ahadi nyingi hivihivi. Watu waliojaa matumaini waliwahi kuingia na kumtoa mahakamani alikokuwa naashitaka ya uhaini. Alipopata vijana walijuta. Badala ya utajiri walijikuta katika vita na mataifa yote. Mali na maisha ya vijana na wazee yalipotea. Uchumi wa dunia nzima uliporomoka, ujerumani ikiathirika zaidi kwa sababu ya tamaa za madaraka iliyokithiri. Hivi bado hatujafunza tu mpaka yaje kututokea. Upendo gani mkubwa hivi aliyonao kiasi kwamba kwa zaidi ya miaka mitano amekuwa akimwaga mahela. Hakuna tajiri wa aina hiyo.

hatutafuti tajiri tunatafuta rais msafi maneno ya nyerere kwa lowasa 1995
 
lowasa alimplot kifo mwakyembe ili asiwepo wkt anagombea urais asije kumchafua.......yako wapi! Mwisho wa cku yeye ndo mgonjwa mahututi. Mungu si lowasa na angekuwa lowasa ndo Mungu basi tungeisha wote

chunga kauli zako unless una ushahidi.
 
Huyu somo yangu nae kapotea, anamtaka lowasa! Kwa lipi. Oo pengine akaambulia unaibu waziri na yeye, maana miaka nenda miaka rudi yuko bungeni lkn hata kaunaibu uwaziri kamekosa.
 
Vipi kwanza nimesikia lowassa kuna dawa anapewa kabla ya kuanza kuongea kwenye mikutano yake ili betri isiishe charge.ngoja nitafute ushahidi wa picha niutupie hapa jf.

nimechekaje duu! wapambe watamuua huyu mzee!
 
Huyu Lowassa hana sifa za urais ukiachia mbali kuhonga pesa kila mkoa na ma ushahidi kibao, anasema lazima awe rais kwani nchi yake? kawanunua wenye njaa sasa anataka kutupasukia eti asiye mtaka ahame, kweli huyu anakaribia mwisho make amekuwa kama mbwa mzee
 
Huyu Lowassa hana sifa za urais ukiachia mbali kuhonga pesa kila mkoa na ma ushahidi kibao, anasema lazima awe rais kwani nchi yake? kawanunua wenye njaa sasa anataka kutupasukia eti asiye mtaka ahame, kweli huyu anakaribia mwisho make amekuwa kama mbwa mzee ...alafu hajiulizi tukisha hama yeye ndo atabaki Ikulu anaongoza nini ama maghosts menzake na miti? na si ajabu ana laana huyu make mwanadamu kuwa chizi si mpaka uvue nguo, ana kichaa.
 
jacob kajeje.nkoloka jamani sio kweli kilamyaka yote utawala unatokanana CCm.tu temuhii watanzania wote tunamba siraa achukue ikulu bilangamizi kwasababu tanzania wengi tuko nyumayake daimjacob kajeje.nkoloka jamani sio kweli kilamyaka yote utawala unatokanana CCm.tu temuhii watanzania wote tunamba siraa achukue ikulu bilangamizi kwasababu tanzania wengi tuko nyumayake daima
nijuavyo mimi,shule zinapofungwa wanafunzi wenye akili nyingi kama wewe huwa munaambiwa nyie msifunge,muwe munaendelea kuingia darasani, tena kila mmoja anaenda na kiboko chake mwenyewe!! Naona hiyo sheria siku hizi itakuwa imefutwa,ilikuwa na umuhimu mkubwa sana,usingekuwa huku saa hizi
 
Huyu ni kilaza tarime tulimyima kura kwasaba hajui kujenga hoja bungeni ndiomana bunge hili hajawi kuchangia
 
Chambiri ni mkurya aliwatukana wapiga kura wa Tarime akakimbilia Babati.

Umeona enhee? Kuna mijitu inachuki mpaka imekwenda kukodisha waganga wa kienyeji inaongozana nayo.

lowasa alimplot kifo mwakyembe ili asiwepo wkt anagombea urais asije kumchafua.......yako wapi! Mwisho wa cku yeye ndo mgonjwa mahututi. Mungu si lowasa na angekuwa lowasa ndo Mungu basi tungeisha wote



Acha uongo wa kudanganya wajinga.
Siasa za uongo ndio zinazotufanya tumkubali Lowasa na kuwapuuza washenzi na wanye chuki kama wale waliomuua Gadaf kwa kumuita fisadi leo hii Libya imechafuka na inatumbukia kwenye umaskini.
Musiendekeze siasa za chuki na kusingizia watu mauaji mtaipeleka nchi kubaya kwa chuki tu za kidini na kikanda.

Kama ungekua na akili kidogo tu ungejiuliza Lowasa amuue Mwakyembe kwa kuogopa kutajwa kwenye nini wakati alishatajwa na mamiliini yametumika kuandaa watu wa kumchafua na wanaendelea kumchafua.
Isitoshe ripoti ilishatolewa na imemtaja sasa sogope kutajwa wapi tena?
Kwa nini wasiwe ni wale ambao majina yao hayakutajwa japo walihusika?
Wale ambao hawakutajwa ndio ambao walikua na woga wa kutajwa lakini sio Lowasa ambaye tayari alikua ameshatajwa.

Pia ukumbuke kuwa ile tume haikua ni siri ya Mwakyembe na wala haikuwa ni uchunguzi wa siri wa Mwakyembe bali ilikua ni tume uliyohusisha wajumbe wengi na Mwakyembe alikua ni mwenyekiti tu,hivyo kila jambo liliamuliwa kwa maamuzi ya tume Mwenyekiti peke yake.

Jiulize ni kwa nini % kubwa ya wanaompinga Lowasa ni mawaziri lakini hawajamkamata kwa hayo wanayomsingizia.

Naamini kuwa kama Lowasa amesingiziwa MUNGU atawalipa wale wote waliomsingizia na kuyumbisha taifa na kujenga chuki kwa kumfitinisha na watu kwa kushuhudia watanzania wakimpa Lowasa Urais mwezi octoba.
 
mwalimu nyerere wakati wa uhai wake mwaka 1995 wakati anaeleza nyufa zilizolikumba taifa alitolea mfano wa mke wa kaisali mtawala wa rumi ,kuwa alikuwa .amechepuka uchunguzi wa kina ulipofanyika ilioneka kwamba taarifa ile haikuwa ,sahihi .kaisali alimtimu yule mama kwa maelezo kwamba mke wa kaisali hapashwi kutuhumiwa .sasa sisi watuhumiwa kwa nini tuwakumbatie watangaze nia ya kwenda sehemu takatifu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom